🤣 🤣 🤣 🤣 we mzee, logout kiasi ukunywe maziwa.BTW he has Zanzibari roots too though we don't give a damn!
🤣 🤣 🤣 🤣 we mzee, logout kiasi ukunywe maziwa.BTW he has Zanzibari roots too though we don't give a damn!
Hivi neno Kiongosi ni wao badala ya Kiongozi? Maana kuna kipindi hapa Bongo lilikuwa linavuma balaaa [emoji3][emoji3][emoji3]Wakunya ni lugha gani sasa wanaweza kuongea kwa ufasaha? Sio mama mboga sio waziri both, butchering both languages equally sio English sio Swahili
Kazi wanasema kasi wengine gazi,
Maisha wanasema maisa
Ngumu wanasema gumu
Shilingi wanasema silingi
Mingi wanasema miki
Tosha wanasema tosa
Am tired [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tony254 nini hiki?
if unataka city experience nenda Dar ( pia plenty of beaches especially Kigamboni area (over 4) and there are some Marinepark Islands i.e. Bongoyo and Mbudya that need only a boat fare to access) ila kama unataka relaxation nenda Zanzibar pia kuna beach parties za kufa mtu (Full moon parties at kendwa rocks)!Next time nikipata leave nitakuja, aidha hii December au mwaka ujao. Kwa sasa sijui nitembelee Zanzibar au Dar.
Tanzania is heaven for many footballers now
if unataka city experience nenda Dar (there are some Marinepark Islands i.e. Bongoyo and Mbudya that need only a boat fare to access) ila kama unataka relaxation nenda Zanzibar pia kuna beach parties za kufa mtu (Full moon parties at kendwa rocks)!
Both r easily accessible! Usirudi umenywea utakapogundua Zanzibar haina mpinzani kwenye quality hotels n Resorts within East and Central Africa!Nitafanya maamuzi baadaye lakini kwa sasa naegemea Zanzibar.
Sisi waziri wetu wa Fedha na Mipango ana Shahada ya Uzamifu (PhD) ila anaandika kama hivi!
Did you follow the link ama ni kupayuka tu as always? The twins shared vital body organs such as spinal cord, rectum, anus, some muscles, tissues and skin.We did the first one in 1994, but it was the simple one like this one which you did in 1996 because twins were not sharing any internal organ. This one is unique because they share many internal organs, get it clear.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania ndio mmefika huku? 😅😅
Tanzania is heaven for many footballers now
Tanzania ndio mmefika huku? 😅😅
[emoji846][emoji846].......... Geza Ulole. wewe ni mtu wa kushangaza sana..
hivi hapo mwanzoni, nilikuona kama wee ni mtu shupav anaye aminika.. mtu anaye simama na ukweli, pasipo kua na mapendeleo ama ubaguzi kati ya kenya ama tz.
mfano mzuri humu ni Tony na tuusan na pia kwa kiasi 7seven. ila wewe ni mzee bwege aliye join jf in 2004.!
watu wa hadhi zako ni watu wanao heshimika sana kwenye society, na pia ndo wanao patia ushauri ama advice kwa vijana au kizazi kijacho, ila ww ni tofaut sana na cohorts zako.........
hivi kwako unaona vizuri sana kua Render na what's on the ground is exactly the same.! lakini bado mzee mkongwe wa hadhi zako, atapata energy, ya ku oppose kitu ambacho kiko wazi kabisa! ata kipofu anaweza kuuona
render[emoji1427]View attachment 2278674
endgame[emoji1427]View attachment 2278675
"Soeya" [emoji23][emoji23][emoji23]
Pia kwenye a na h,Hiyo ni lafudhi tu na wala haiashirii kutoielewa lugha ya Kiswahili. Ndio maana Geza Ulole alikuelimisha kwamba mtu anaweza kuongea kwa lafudhi iliyoathirika na lugha ya mama ila ngeli anayotumia iwe sahihi na mpangilio wa maneno pia iwe sahihi. Huko kwenu Tanzania pia wengi wenu lafudhi yenu imeathirika na lugha ya mama. Sio Wasukuma tu bali hata watu kutoka kabila zingine za Tanzania unakuta mtu anachanganya r na l au sh na s. chongchung Tanzania tunaijua vizuri na huwezi kutudanganya eti nyie Kiswahili chenu hakijaathirika na lugha ya mama.