Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati Nyerere anaongea hatuwezi kujua alikuwa katika mood gani, au aliudhika nini na hawa watu.

Si maneno yake yote yanaweza kuwa sheria mengine aliongea ki ubinadamu ,ndio maana naye alisema kwenye utawala wake kuna vitu alikosea,akashauri vilivyokosewa tuviache na tuangalie yaliyo mema,utakuta hata hii kauli ni mojawapo ya aliyokosea.

Ila kwa kuwa huko tulishatoka tuyaache tuendelee mbele.

Alisema pia mtu asichaguliwe kuwa kiongozi kwasababu ya ukabila wake au asinyimwe kuwa kiongozi kwasababu ya ukabila wake ,isipokuwa achaguliwe kwa kuwa ana uwezo wa kuongoza.

Hii kauli watu wasiitumie kuwanyima wengine haki ya kuongoza nchi eti kisa Nyerere alishasema. Vitu vingine vitenguliwe kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Mi naomba evidence akisema makabila makubwa ya Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa yasitawale!
 
Hili la Morrison liweza kuwa kweli maana jamaa aliipenda Tanzania na Watanzania walimpenda sana. Mamlaka zitakuwa zimemsikia bila shaka.
Kibu denis alipewa haraharakakweli na ni mzigo tuu kwe national team
 
Kuna jamaa hata SGR alilazimisha ipite kwake na Rwanda japokuwa DRC walitaka reli ipite Burundi!

Huu uwanja ulijengwa kabla ya ule wa Chato ila mpaka sasa haujakamilika! Fedha hazikuwapo ila za wa Chato zilikuwapo!



Kigoma kwetu nayo inashamiri



Hii miradi yote italeta tija kwenye uchumi wa Tanzania.


Ziwa Tanganyika lilisahaulika kwenye maendeleo ya uchumi. Ila bado mzee baba alishaanza amsh amsha kwa Kigoma kuuinuka kiuchumi.

Hata hizi barabara aliziacha yeye. Ujenzi wa bandari ,na kufufua meli zake,kilimo cha michikichi alihimiza sana Magu msimamizi akiwa Majaliwa.
 
Ina maana hiyo habari huku Tanzania hakuna vyombo vya habari vimeandika?, Ukweli ni kwamba Kenya mnafuatilia Sana habari za Tanzania kwasababu Tanzania ndio "Giant" hapa East Afrika.

Kesi Kama hizi huko Kenya ni nyingi Sana, lakini hata sio vyombo vingi vya habari Kenya vonafuatilia matukio ya ndani kwasababu hata wakenya wamezoea kusikia mauaji huko Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
tanganyika ni east african 'Giant' kivipi.?. yani tz is a self-proclaimed/self imposed developed state.. ni wao pekee duniani wasio amini tarifa za worldbank na imf
 
Pale Kiherehere kinapoanza kusuta Uchumi! Labda Ufaransa itakataa this $37 bln deal kwa vile Russia rafiki wa China yupo Ukraine!





Mchina juzi kawapa Urusi spares za Boeing
Tony254
 
Mi naomba evidence akisema makabila makubwa ya Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa yasitawale!
Kwa kweli evidence yake ni hizo rumours kama alivyoanzisha mtoa mada. Unaweza kukuta ni maneno ya kizushi lakini yanaishi kwenye akili za watu mpaka watu wanaamini.

Ni kama unavyosikia eti alisema "Wahaya hawana haya "kipindi cha Amin. Uliwahi kulisikia hili?

Sasa ebu fikiria kizazi kijacho kikiamini hivyo si itatumika kama fimbo?
 
Kibu denis alipewa haraharakakweli na ni mzigo tuu kwe national team
Kwahiyo hapa tusikurupuke.Kwani pia bado ana miaka mingapi ya kucheza soka?
Kama amependa kuishi Tanzania atumie njia nyingine kama watu wengine kuomba uraia wa Tanzania, kama atatimiza vigezo wampatie.
 
Wabunge wa Chama Cha Mafala (CCM) si wapitishe sheria ya kusaidia walemavu wadanganyika jameni.
Ombaomba watanzania wanatusumbua Kenya jameni
Screenshot_20220702-155514.jpg
 
Hayo ni maneno nimeanza kuyasikia tangu mtoto.
Btw nimezaliwa kwa fasi ya Chuga nimekulia Chuga nimekula kitabu Chuga.
Sasa wewe utaniambia nini na hiyo kuforce mambo.
Ila huwa naipenda hiyo style ya uzungumzaji wao. Kuna tangazo la Halotel walikuwa nayo miaka ya nyuma kidogo jamaa anapiga simu ilinibamba sana.
 
Back
Top Bottom