Amari
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 974
- 2,145
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wa Arusha hutamani sana kuongea sheng kama watu Nairobi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Dah!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wa Arusha hutamani sana kuongea sheng kama watu Nairobi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
East Africa tuko France rugby (Kenya,Uganda,burundi)plus Cairo na kigali basketball (Kenya Uganda Rwanda, south Sudan)
Hiii Tanzania ni yanga na Simba tu!!!!
Hiii nchi inaboo sana, waaah!!!!
Duniani Kuna michezo miwili tuEast Africa tuko France rugby (Kenya,Uganda,burundi)plus Cairo na kigali basketball (Kenya Uganda Rwanda, south Sudan)
Hiii Tanzania ni yanga na Simba tu!!!!
Hiii nchi inaboo sana, waaah!!!!
Naona unawapa vijana ladha za makao makuu ya East Africa.. Chugani.Hayo ni maneno nimeanza kuyasikia tangu mtoto.
Btw nimezaliwa kwa fasi ya Chuga nimekulia Chuga nimekula kitabu Chuga.
Sasa wewe utaniambia nini na hiyo kuforce mambo.
Upo kwenye dunia yko unajiundia matukio kichwani kwako yasiyokua na uhalisia.. (illusions)Kenya media hawafichi habari kama Danganyika media. Kenya hakuna CCM ya kufunga wanahabari.
Watanzania wakitaka kujua habari za kweli kuhusu nchi yao lazima waisome na kutazama kwa Kenya media. Yani Kenyan media ina program wakenya na watanzania kwa pamoja ndio maana watanzania wengi wanaogopa na kuona kwamba Kenya ni superior kushinda Tanzania sababu wameambiwa na kukaririwa hivyo na TV kutoka wakiwa wadogo. Mdanganyika wa kawaida anatamani kuishi Kenya. Its called brainwashing.
Kenya ina soft power over tanzania. TV za Kenya zinaunda hadi taste na preference ya mtanzania ambaye anaitazama kila siku kutoka akiwa mdogo kwa hivyo huyu mdanganyika atatamani kununua na kutumia vitu kutoka kenya
Mfano serikali ya Danganyika imetumia picha za SGR ya Kenya mara nyingi kuonyesha maendeleo ya ujenzi wa eSGRa yenuView attachment 2279011
Halaf Kenya premium league anaijua nani ukivuka mipaka.?Sasa kama ni kweli mpo sawa kwenye mpira sasa mbona Harambee Stars huwa inaipiga Taifa stars kama mbwa koko?
Unajua tofauti ya "National football team vs National football league?"[emoji1][emoji1][emoji1]Sasa kama ni kweli mpo sawa kwenye mpira sasa mbona Harambee Stars huwa inaipiga Taifa stars kama mbwa koko?
As i told u Obama is a no issue to us Tanzanians! He was just like any other Presidents around the World!From his white mother or his Kenyan father?🤣🤣🤣
Yule mkunya alisemaga Tanzania haiwezi jenga hata mita moja leo analia huko kwao . Yaani inateleza kama nyoka pangoniMchongo mzima huu apa sasa [emoji116]. Trials kama zimepamba moto vile
Mchongo mzima huu apa sasa 👇. Trials kama zimepamba moto vile
Kumbe wameanza trial na hatuambian 😂
Kenya inatesa wadanganyika sana, na badoUpo kwenye dunia yko unajiundia matukio kichwani kwako yasiyokua na uhalisia.. (illusions)
Kumbe wameanza trial na hatuambian 😂
Yule mkunya alisemaga Tanzania haiwezi jenga hata mita moja leo analia huko kwao . Yaani inateleza kama nyoka pangoni
Mbona train ya kichwa kawaida tu sioni bullet train. Mmegongwa [emoji23]