Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,393
- 5,800
Hiyo ni hailstorm Nyandarua/Laikipia County KenyaKuna exceptionalities kama tukio la hiyo clip!
Hiyo ni hailstorm Nyandarua/Laikipia County KenyaKuna exceptionalities kama tukio la hiyo clip!
[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
First in East n central Africa!
[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
This one was already done in kenya 2016First in East n central Africa!
Ni sababu hawajui kupika kabisa, mchuzi wao wa nyama unaweza kufikiri maji ya kunawa 😅😅😅Kwanza maize shortage inaashiria majamaa wanakula sana ugali na sukumawiki 😅
Wakiwa humu sasa..wanajikuta wazunguwazungu eti wanakula KFC
Huku hizi vitu zinafanywa na county governorsPelekeni manesi wenu ugaibuni
where is the plant now?Huku hizi vitu zinafanya na county governors
View attachment 2278395
Wabongo wako nyuma sana. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hizi oxygen plants ziko in every county hospital in Kenya and it's not a big deal. Kenya ikiequip hospitals time ya covid, Magu alikua busy akiambia wabongo watafune tangawizi. Sasa ona hospitali zao mingi hazina hata ICU ndio maana mtu anashangazwa na Oxygen plant.Huku hizi vitu zinafanya na county governors
View attachment 2278395
Nyef nyef, we mzee heshimu miaka yako bana.where is the plant now?
Hawawezi ishi bila uji na ugali hao. Vitu kama wali, chapati, muhogo, viazi, ndizi nk ndio kabisaa hawataviweza gharama zake.Hahahaha wakiacha ugali ni githeri, sasa wamekwepa nini? [emoji28][emoji28]
Wali ni anasa, ndizi hawazijui, ugali wa mtama hawaujui, ugali wa muhogo hawaujui, viazi hawavijui Yaani wao ugali tu [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata nazi hawajui?Ni sababu hawajui kupika kabisa, mchuzi wao wa nyama unaweza kufikiri maji ya kunawa [emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi mtu wa mombasa utanifundisha nini kuhusu nazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata nazi hawajui?
Nyef nyef, we mzee heshimu miaka yako bana.
Wabongo wako nyuma sana. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hizi oxygen plants ziko in every county hospital in Kenya and it's not a big deal. Kenya ikiequip hospitals time ya covid, Magu alikua busy akiambia wabongo watafune tangawizi. Sasa ona hospitali zao mingi hazina hata ICU ndio maana mtu anashangazwa na Oxygen plant.
Heheheheee hii dunia inaenda kasi sn, leo Serengeti imefika level hizi!![emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91]
I knew it though I prayed for it, thanks God.[emoji1241][emoji1241][emoji1241]