Hayo ni maneno nimeanza kuyasikia tangu mtoto.
Btw nimezaliwa kwa fasi ya Chuga nimekulia Chuga nimekula kitabu Chuga.
Sasa wewe utaniambia nini na hiyo kuforce mambo.
Hata hii ni hiphop ya Arusha na wanatumia sheng kama ya Kenya kabisa. .
Nimeskia hizi sheng words - kuwasha manare, manze, kuzurura mtaa, zurura ukisaka chapaa, mizinga na mamanzi, fegi ndio kabisa.




