Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mghana Morrison anaomba uraia wa Tanzania. Kwann si kenya

Kunyaland wenyewe wanaomba uhousemaid Kumas

Screenshot_20220513-122609.png
 
Sisi waziri wetu wa Fedha na Mipango ana Shahada ya Uzamifu (PhD) ila anaandika kama hivi!

Hata huyo aliyemkosoa naye kachemka.
Ila kwako hatuoni tatizo maana ni mchangiaji hatujui kiwango chake cha elimu.

Kiongozi wetu hapa amekimbia na fuko la Fedha anazozilinda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hapo kuna tatizo. Inaeleweka ikiwa msomi anashindwa kutamka maneno vizuri ila anaandika maneno vizuri. Lakini haieleweki ni kwa nini msomi anashindwa kuandika maneno vizuri inavyostahili.

Cc chongchung
Hili ndio tatizo kubwa. Hakuwa makini wakati anaandika na hakurudia kusoma kabla hajatuma. Au hajui kama alikosea anaona sawa.

Ebu fikiria ndio watunga mitaala hawa watatuletea mambo gani kwa watoto wetu.?
 
Mi namshukuru mama anapeleka miradi ya kutosha kuiboresha Kigoma isimame kivyake na si kuiacha nyuma ije ili ije kumegwa baadae na kufanya mashamba ya upande wa pili!







Kwa kweli Kigoma ilikuwa imeachwa nyuma sana wakati ni mkoa mzuri sana kwa ardhi yenye rutuba, watu wachapakazi, kiungo cha DRC na uwekezaji wa kimkakati.
 
Amen!
Wengine hapa maombi yao ni kuwe na vuruge
Damu ikimwagika hasa kwa watu wasio na hatia huleta shida kwa vizazi vingine baadaye. Cha msingi msiache kuomba ili Mungu awaepushie mbali.

Hawa wengine ni utani tu msiwachukulie serious. Wanaongea kama kuwakumbusha kuwa muwe makini kwenye uchaguzi wenu [emoji4][emoji4]
 
Siasa za chuki zinarejesha nyuma maendeleo.
Kabisa mkuu maana zinajenga visasi vya muda mfupi na mrefu huku watu wakikomoana. Unakuta mtu ni Kiongozi mzuri ana uwezo wa kuongoza lakini kwa kuwa anatokea familia yenye ugomvi na mtu anayetakiwa kumteua anaachwa na kupewa mwingine hatimaye anaharibu kila kitu.
 
Kwa kweli Kigoma ilikuwa imeachwa nyuma sana wakati ni mkoa mzuri sana kwa ardhi yenye rutuba, watu wachapakazi, kiungo cha DRC na uwekezaji wa kimkakati.
Kuna jamaa hata SGR alilazimisha ipite kwake na Rwanda japokuwa DRC walitaka reli ipite Burundi!

Huu uwanja ulijengwa kabla ya ule wa Chato ila mpaka sasa haujakamilika! Fedha hazikuwapo ila za wa Chato zilikuwapo!



Kigoma kwetu nayo inashamiri



 
Kuna Sukumagang humu wanatumia jina la Nyerere kwenye kuhalalisha ukabila!
Wakati Nyerere anaongea hatuwezi kujua alikuwa katika mood gani, au aliudhika nini na hawa watu.

Si maneno yake yote yanaweza kuwa sheria mengine aliongea ki ubinadamu ,ndio maana naye alisema kwenye utawala wake kuna vitu alikosea,akashauri vilivyokosewa tuviache na tuangalie yaliyo mema,utakuta hata hii kauli ni mojawapo ya aliyokosea.

Ila kwa kuwa huko tulishatoka tuyaache tuendelee mbele.

Alisema pia mtu asichaguliwe kuwa kiongozi kwasababu ya ukabila wake au asinyimwe kuwa kiongozi kwasababu ya ukabila wake ,isipokuwa achaguliwe kwa kuwa ana uwezo wa kuongoza.

Hii kauli watu wasiitumie kuwanyima wengine haki ya kuongoza nchi eti kisa Nyerere alishasema. Vitu vingine vitenguliwe kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom