THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Wivu!!!Rafiki naona unasafiri. Safari njema. Hii JNIA mbona ipo empty vibaya?
View attachment 2275581
Wivu!!!Rafiki naona unasafiri. Safari njema. Hii JNIA mbona ipo empty vibaya?
View attachment 2275581
Mtachukua at least 50 years SGR yenyu kufanya trial ya electrical locomotive and plse feel free to mark my words!Mbona train ya kichwa kawaida tu sioni bullet train. Mmegongwa![]()
Kichwa cha mkandarasi TZ SGR ni better kuliko kichwa cha treni cha Kunyan SGR lookalikeMbona train ya kichwa kawaida tu sioni bullet train. Mmegongwa![]()

a Bullet Train crossing the Dodoma Bridge..... naona kweli mwenda zake alifanya kaziKichwa cha mkandarasi TZ SGR ni better kuliko kichwa cha treni cha Kunyan SGR lookalike![]()
Hivi vitu hata uishi milele hutakaa uvione huko Kunyaland!a Bullet Train crossing the Dodoma Bridge..... naona kweli mwenda zake alifanya kazi View attachment 2279536
Hivi vitu hata uishi milele hutakaa uvione huko Kunyaland!
Hivi vitu hata uishi milele hutakaa uvione huko Kunyaland!
Ziko wapi?Kenyan SGR pia inatumia automatic signalling systems. Punguza ushamba wewe jamaa. In fact, sidhani kama kuna SGR yoyote iliyojengwa duniani in the last 10 years ambayo inatumia manual signalling systems. Hata SGR ya Ethiopia lazima ni automatic. Sio jambo kubwa, hili ni jambo la kawaida kuwa na automatic signalling systems japo wewe unafikiri kimakosa kwamba Tanzania ndio nchi ya kwanza kupata automatic signalling systems ukanda huu.
Ziko wapi?
Testing in procedure zake , lazima wazingatie safety.baada ya kichwa utaona shoulder , chest , fingers , feet and tail . Vumilia mkunya najua inauma . Nendeni mkalie twitterMbona train ya kichwa kawaida tu sioni bullet train. Mmegongwa![]()
Wachina wamewapiga na kitu kizito kichwaniKenyan SGR pia inatumia automatic signalling systems. Punguza ushamba wewe jamaa. In fact, sidhani kama kuna SGR yoyote iliyojengwa duniani in the last 10 years ambayo inatumia manual signalling systems. Hata SGR ya Ethiopia lazima ni automatic. Sio jambo kubwa, hili ni jambo la kawaida kuwa na automatic signalling systems japo wewe unafikiri kimakosa kwamba Tanzania ndio nchi ya kwanza kupata automatic signalling systems ukanda huu.