Wakuu huko mnaenda mbali sana, just keep cool and come down my brothers. Hizi mambo huwa zinaibua hisia mchanganyiko kwa watu wengi hasa wanaotusoma.kwahiyo Wamasai wamevamia Tanga? Nyoko wewe! Yaani mnavamia mashamba ya Waha halafu muachwe? Kwani hamjui taratibu? Kwahiyo Wasukuma mnatafuta vurugu za Morogoro Kigoma? Ni kweli Wachagga na Wahaya hawatatawala kwa sababu ya Msukuma aliyepewa madaraka akaingiza ukabila badala ya Utaifa wa kizalendo!
But hiyo sheng ya arusha inatokea ikiwa fake sana, ukitazama hii video unanotice tu...kiswahili cha Tanzania wanavuta sana kama maisha yao tuu.. hawana haraka haraka kama shengWatu wa Arusha hutamani sana kuongea sheng kama watu Nairobi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mnafika mbali wakuu.[emoji23][emoji23]sukuma gang [emoji23][emoji23][emoji23]yes we run this ^got somtn to say?
Mkabila mpumbavu wewe!!
Shembeteng ya Arusha. 🤣🤣🤣 Hawa watu wa Arusha wanatamani sana lifestyle ya Nairobi.
Walai bana, huyo dem anasound kama mlunje. Hio sheng yao inasound kama zile sheng za ocha ikona mother tongue influence.But hiyo sheng ya arusha inatokea ikiwa fake sana, ukitazama hii video unanotice tu...kiswahili cha Tanzania wanavuta sana kama maisha yao tuu.. hawana haraka haraka kama sheng
Ni kipindi fulani cha nyuma hii ndio ilikuwa kampeni ya hivi, watu kuumizana. Siku hizi haipo tena. Ustaarabu umeongezeka.A campaign rally in dar slumView attachment 2278939
Watu wa Arusha hutamani sana kuongea sheng kama watu Nairobi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mi namshukuru mama anapeleka miradi ya kutosha kuiboresha Kigoma isimame kivyake na si kuiacha nyuma ije ili ije kumegwa baadae na kufanya mashamba ya upande wa pili!Mnafika mbali wakuu.
Amen!Ni kipindi fulani cha nyuma hii ndio ilikuwa kampeni ya hivi, watu kuumizana. Siku hizi haipo tena. Ustaarabu umeongezeka.
Hata nyinyi mwaka huu bila shaka mwaka huu mtavuka salama. Kampeni za mauaji kisa uchaguzi wa muda mfupi ni za kishamba.
Ndio mpira wa Tanzania umekua maarufu kwa kiwango cha kuwa hot debate nchi za mbali!Una imply nini hapa? Fake accounts? Mbona ni Ghanian accounts! ?
Katika watu ambao hatuna shobo ni watanzania ndo maana hata huwa hatutaki masuara ya uraia pachaIf his father was Tanzanian huku hakungekalika.
Umenena mkuu. Wasomi na Viongozi wetu wawe makini wanapoongea au kutweet mtandaoni maana wao ni kioo cha jamii,tunategemea kujifunza kutoka kwao, sasa kama wanakosea kuandika, kuongea je wanaonekanaje?Ila makosa ya kisarufi (grammar) kwenye matamshi ni tofauti na yatokanayo na lugha/lahaja za mama (lafudhi) na hayakubaliki kwenye uandishi haswa kama ni maandishi rasmi ya kitaasisi au yanayotoka kwa Nguli/Kada/Mkufunzi wa kielimu/ kisekta/ kitaasisi au kiserikali!
Yanaonyesha kutojitosheleza ama kujikimu kwa ufahamu/ujuzi wa mhusika haswa kama ni Mkufunzi! Tena unakuta mhusika ana shahada ya Uzamifu! Aisee huwa haikubaliki ndio maana misemo ya PhD za mchongo ipo.
Siasa za chuki zinarejesha nyuma maendeleo.Ni kipindi fulani cha nyuma hii ndio ilikuwa kampeni ya hivi, watu kuumizana. Siku hizi haipo tena. Ustaarabu umeongezeka.
Hata nyinyi mwaka huu bila shaka mwaka huu mtavuka salama. Kampeni za mauaji kisa uchaguzi wa muda mfupi ni za kishamba.
Hayajafika tu, mbona siku nyingi hizi picha zilishawekwa humu??
Haya maneno haya afya ya kutaja makabila. Rais atatoka kabila lolote ilimradi ni Mtanzania. Tuyapotezee haya ya ukabila mkuu.Mimi nitamsema tu na siasa zake chafu! Sasa kazi kwenu, leo nimeambiwa Wachagga na Wahaya hawatakaa washike Urais! Wengine wanadai mimi Mzanzibari!
Kuna Sukumagang humu wanatumia jina la Nyerere kwenye kuhalalisha ukabila!Haya maneno haya afya ya kutaja makabila. Rais atatoka kabila lolote ilimradi ni Mtanzania. Tuyapotezee haya ya ukabila mkuu.
Hii nimeisikia kwako kwa mara ya kwanza.Kenya media hawafichi habari kama Danganyika media. Kenya hakuna CCM ya kufunga wanahabari.
Watanzania wakitaka kujua habari za kweli kuhusu nchi yao lazima waisome na kutazama kwa Kenya media. Yani Kenyan media ina program wakenya na watanzania kwa pamoja ndio maana watanzania wengi wanaogopa na kuona kwamba Kenya ni superior kushinda Tanzania sababu wameambiwa na kukaririwa hivyo na TV kutoka wakiwa wadogo. Mdanganyika wa kawaida anatamani kuishi Kenya. Its called brainwashing.
Kenya ina soft power over tanzania. TV za Kenya zinaunda hadi taste na preference ya mtanzania ambaye anaitazama kila siku kutoka akiwa mdogo kwa hivyo huyu mdanganyika atatamani kununua na kutumia vitu kutoka kenya
Mfano serikali ya Danganyika imetumia picha za SGR ya Kenya mara nyingi kuonyesha maendeleo ya ujenzi wa eSGRa yenuView attachment 2279011