Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's why I said ASSUMING. Read to understand bongolala, usiwe na mihemko za kijinga. All in order, get your daily dose of truth here then shut the f*ck up forever View attachment 2275422
Only stupid people can understand this data, in December alone, total of 19Million MT of Tanzanian cargo passed through Mombasa port, I repeat 19M metric tonnes in one month[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
joto la jiwe nadhani umepata picha ya vitu gani tuna import, sasa niambie hapa shithole kama tanzania ina substitute ya hizii bidhaa locally?? FYI asilimia kubwa ya ngano mnayotumia inatoka Ukraine na Russia.
Tanzania tunapunguza Sana imports kwa kuongeza uzalishaji wa ndani, ukiacha ngano ambayo kwasasa 40% bado tunategemea kuagiza, lakini bidhaa nyingi za vyakula, Malighafi (raw materials),nguo na domestic equipments tunazalisha wenyewe, sio Kama ninyi, you imports almost 80% of your goods every year.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Only stupid people can understand this data, in December alone, total of 19Million MT of Tanzanian cargo passed through Mombasa port, I repeat 19M metric tonnes in one month[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nika request a link japo najua hata link huenda ikawa ya mchongo, Mombasa port ina export nn zaidi Tz?
 
Watz weng walikua wanatumia mombasa kuingiza magar nahisi kodi za tz zlikua mziki
Ni kweli kabisa kodi ilizingua watu wengi wakawa wanapitishia Mombasa. Upanuzi wa bandari ya Dar na maboresho yake, Upanuzi wa Tanga port na Mtwara port zimevutia watu wengi kupitishia mizigo yao kwa hizi bandari za TZ.

Kuna sheria ya mwaka 2013 kuhusu uagizaji wa magari kupitia kwa mawakala, hii sijaielewa vizuri maana ni kama kodi inadouble, sawa sawa na gharama ya manunuzi huko Japan,lengo la hii sheria sijui ilikusudia nini kwa Watanzania.

Kipindi fulani huko nyuma mtu aliweza kuagiza magari 3 na yakifika anayauza anapta faida. Ilikuwa ni ajira ya watu wengi. Sheria ikapita ikaua ajira za watu. Faida ya kuwa na bandari kwa Watanzania ni nini?

Utetezi wa Serikali eti ni kupunguza foleni mjini. Hii roho mbaya na wivu kwamba watanzania watakuwa na magari. Wakati hapa usajili wa magari, kodi, vipuri na mafuta watapata pesa nyingi zaidi kuliko kodi waliyoweka.

Hii sheria ifumuliwe au iboreshwe ni unyanyasaji kwa Watanzania. Gari linapita hapa hapa Dar lakini bei ya kuuzwa nje ya Tanzania ni ndogo kuliko inavyouzwa Tanzania. Huu ni uwendawazimu kwa viongozi walioruhusu hii sheria ipite.
 
FWRWZYFWQAEKKzA
Hii inaitwa umbua wanafiki,niliona sosopi wa Chadema naye bila kujali wafuasi wake wanapswa kupewa habari za kweli ameposti eti ni Ngorongoro wakati ni Kenya
 
Wakati mwingine joto la jiwe wewe huwa unaongea ujinga sana. I wish ningepata muda leo wakati mjadala huu unajadiliwa, ningekupiga viboko sana. Nchi zote za EAC zinatumia Mombasa port. Hata Ethiopia inatumia Mombasa port. Kiufupi nchi zisizopungua saba zinatumia Mombasa port. Orodha ndio hii hapa
1.Ethiopia
2. South Sudan
3. Rwanda
4. Burundi
5. DR Congo
6. Tanzania
7. Uganda.
Punguza ulimbikeni wako, hivi ni sawa kusema Kenya inanunua umeme toka Tanzania, au Tanzania inanunua umeme toka Kenya eti kwasababu vijiji vya Namanga na Horohoro vinapata umeme toka nchi jirani kutokana na ukaribu wa nguzo za umeme?, that amount is negligible.

Hivyo ndivyo ilivyo kwa mizigo ya Tanzania na Ethiopia inayopitia Mombasa, kwa Tanzania inaenda mikoa ya kaskazini, yaani Arusha na Moshi na Tanga kwa sababu ya proximity, the amount is negligible

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania tunapunguza Sana imports kwa kuongeza uzalishaji wa ndani, ukiacha mgano ambayo kwasasa 40% bado tunategemea kuagiza, lakini bidhaa nyingi za vyakula, Malighafi (raw materials),nguo na domestic equipments tunazalisha wenyewe, sio Kama ninyi, you imports almost 80% of your goods every year.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Do yourself a favour, leta balance of trade of Kenya na ya tanzania, i guarantee you the difference sio kubwa kama ulivyodai hapo juu. Na niko 100% sure nguo ulizovaa mpaka chupi ni mitumba imports, ukija KE tumeanza discussion ya kuban mitumba completly.
 
19 Kenyan nurses wanaelekea UK kufanya kazi katika Oxford University Hospital. Kenya sio size yako wewe The best 007


joto la jiwe remittance zinazidi kuongezeka. Hawa nurses watatuma remittance nyumbani wakifika huko Oxford University Hospital. Najua hupendi kusikia haya mambo.
Wakati huo huo Kenya imepoteza 19 brains ambazo zingeweza kupunguza idadi ya wagonjwa wengi wanaokwenda nje ya nchi kutafuta huduma za matibabu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
She has done well. Kenyans are well educated, aggresive and open minded. No wonder we are open to the idea of working abroad when Tanzanians view working abroad as a negative thing. By the way health sector in the UK and US zinahitaji a lot of nurses. Kuna a big demand for nurses in those two countries.
Kwahiyo hizo nchi zina big demand ya health workers than Kenya?, au mumeanza kukata tamaa kuendeleza sector yenu ya Afya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo hizo nchi zina big demand ya health workers than Kenya?, au mumeanza kukata tamaa kuendekeza sector yenu ya Afya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya tuna a lot of well educated, qualified but unemployed nurses. Unaweza pinga lakini huo ndio ukweli. Hao nurses wacha waende nje ya nchi wapige pesa ndefu watume hizo pesa nyumbani.
 
The M23 kadogoos in DRC!


Anything to remind us of Mobutu's ousting by Laurent Kabila? Tshisekedi should stay alert!
 
Back
Top Bottom