joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Katika "statements" zako zenye kukudhalilisha hii ni Moja wapo, hakuna nchi yoyote Africa ambayo Kuna wasomi wengi kuzidi mahitaji ya nchi.Kenya tuna a lot of well educated, qualified but unemployed nurses. Unaweza pinga lakini huo ndio ukweli. Hao nurses wacha waende nje ya nchi wapige pesa ndefu watume hizo pesa nyumbani.
Wewe mwenyewe ulienda kusoma huko Chzec Republic kupitia "Scholarship" za serikali zinazotolewa na nchi za nje ili kuzisaidia nchi za Africa kupunguza pengo la wasomi.
Wewe punguza ujinga, Kati ya "Nurses 20,000 waliofanya huo mtihani waliopata hiyo nafasi ni 19 pekee, unataka kusema hao wote waliofanya huo mtihani hawana ajira hapo Kenya?.
Ninakuhakikishia hao wote 19 waliopata hiyo nafasi wameajiriwa na ni miongoni mwa best Nurses hapo Kenya, Kenya mnapoteza "cream and the most intelligent Nurses to UK, kwa ujinga wenu mnafurahia hicho kitendo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app