7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,067
Hapo ndipo ninashangaa.Inawezekana hili jambo lipo kwa manufaa ya upande mmoja. Warudishwe tu nyumbani kama ni kweli tutawapokea, tena usafiri ni rahisi kwa njia ya barabara siyo ndege.Serikali ya Kenya inachoshindwa kuwazoa hao ombaomba hapo mjini ni nini? Pick them up from the streets and repatriate them the good thing tuko karibu gharama ya repatriation ni ndogo sana.