7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,067
Lazima ni mtandao wa watu ambao wapo Tz na Kenya, ni biashara haramu ya usafirishaji wa watu. Ufuatiliwe wote.Mmeona sasa, kumbe hata hawaendi wenyew, wanapelekwa kwa manufaa ya wengine
Lazima ni mtandao wa watu ambao wapo Tz na Kenya, ni biashara haramu ya usafirishaji wa watu. Ufuatiliwe wote.Mmeona sasa, kumbe hata hawaendi wenyew, wanapelekwa kwa manufaa ya wengine
Wakati mwingine joto la jiwe wewe huwa unaongea ujinga sana. I wish ningepata muda leo wakati mjadala huu unajadiliwa, ningekupiga viboko sana. Nchi zote za EAC zinatumia Mombasa port. Hata Ethiopia inatumia Mombasa port. Kiufupi nchi zisizopungua saba zinatumia Mombasa port. Orodha ndio hii hapaWho told you that the remaining 2% must be through Mombasa?, There are other means like Airports and roads which are other means through which a country uses as means of importation.
What is important is for you to know that, apart from Uganda and South Sudan, there are nor other countries which depend on Mombasa port, it is mainly for your own consuptions like your white elephant fake SGR, it is mainly for domestic market.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
yani hadi Tz tena 😆😆😆😆Wakati mwingine joto la jiwe wewe huwa unaongea ujinga sana. I wish ningepata muda wakati mjadala huu unajadiliwa, ningekupiga viboko sana. Nchi zote za EAC zinatumia Mombasa port. Hata Ethiopia inatumia Mombasa port. Kiufupi nchi zisizopungua saba zinatumia Mombasa port. Orodha ndio hii hapa
1.Ethiopia
2. South Sudan
3. Rwanda
4. Burundi
5. DR Congo
6. Tanzania
7. Uganda.
Ww huusiki mkuu najua ww ni nusu mtz lazima uwe vzr kimtindo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haiya vita niliwacha ikiwa yako na teargass sasa si ulisema tusiingilie, wewe hujielewi[emoji1787][emoji1787]
Kamwene.Kamwene Mnyalukolo!
Hajadanganya kuna kipindi cha nyuma baadhi ya mizigo ya TZ ilikuwa ikipitia bandari ya Mombasa hasa magari ya wafanyabiashara kwa sasa hivi sijui kama bado wanaitumia.yani hadi Tz tena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
But the article says discovered in the forest of Congo basin,even myself I have a doubt about that place which discovering the giant guy.It could be those places you have mentioned.think this are Aborigines from the Oceania, eg. Australia, New Zealand, Fiji Islands, Samoa etc.
View attachment 2275551
Je, ukijibu Kamwene Unogage huwa ni kipindi gani?Kamwene.
19 Kenyan nurses wanaelekea UK kufanya kazi katika Oxford University Hospital. Kenya sio size yako wewe The best 007No wonder walifeli mtihani wa kingereza wa darasa la pili manesi wote wa Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mkuu kiukweli huyu mtu daahhh.
Sahizi jioni tunasema Weuli.Je, ukijibu Kamwene Unogage huwa ni kipindi gani?
Alafu kuna huyu hapa19 Kenyan nurses wanaelekea UK kufanya kazi katika Oxford University Hospital. Kenya sio size yako wewe The best 007
joto la jiwe remittance zinazidi kuongezeka. Hawa nurses watatuma remittance nyumbani wakifika huko Oxford University Hospital. Najua hupendi kusikia haya mambo.
Alafu kuna huyu hapa19 Kenyan nurses wanaelekea UK kufanya kazi katika Oxford University Hospital. Kenya sio size yako wewe The best 007
joto la jiwe remittance zinazidi kuongezeka. Hawa nurses watatuma remittance nyumbani wakifika huko Oxford University Hospital. Najua hupendi kusikia haya mambo.
Sio 19 ni 13, walifanya mtihani zaidi ya 20,000 wote wakafeli wamepatikana hao 13 tu ndiyo wataenda UK kuosha vidonda.19 Kenyan nurses wanaelekea UK kufanya kazi katika Oxford University Hospital. Kenya sio size yako wewe The best 007
joto la jiwe remittance zinazidi kuongezeka. Hawa nurses watatuma remittance nyumbani wakifika huko Oxford University Hospital. Najua hupendi kusikia haya mambo.
Idadi ni 19 sio 13.Sio 19 ni 13, walifanya mtihani zaidi ya 20,000 wote wakafeli wamepatikana hao 13 tu ndiyo wataenda UK kuosha vidonda.
BTW i find that post to be having some racist connotations! I am simply not comfortable with it!think this are Aborigines from the Oceania, eg. East Timoleste, Papua New Guinea, Australia, New Zealand, Fiji Islands, Samoa etc.
View attachment 2275551
She has done well. Kenyans are well educated, aggresive and open minded. No wonder we are open to the idea of working abroad when Tanzanians view working abroad as a negative thing. By the way health sector in the UK and US zinahitaji a lot of nurses. Kuna a big demand for nurses in those two countries.Alafu kuna huyu hapa
![]()
Mercy Wasike becomes first Kenyan deputy chief nurse at top London hospital
A Kenyan nurse, Mercy Wasike, has made history in the United Kingdom after being appointed deputy chief nurse at the Royal National Orthopaedic Hospital (RHOH) NHS Trust.www.citizen.digital