Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,146
Aliwezaje kumtoa Ndugai kama ni ceremonial? Kwenye wizara ile anahitaji nguli wa economics na si mtu wa mentality ya kuombaomba tu!She a ceremonial leader.. yeye hana cha kuamua..elewa hilo..tatizo hutaki kukubali hilo.. she is just a CEREMONIAL LEADER 😂
Kwa taarifa yako atashinda 2025 na kitu ambacho kinanitia wasi ni jinsi ata-handle uchaguzi Zanzibar!