Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Sasa mbona wewe hujui kuuliza swali? Lugha gongana. Sawa wacha nitafute.Mm ndio nina mashaka na wewe kama kweli uliwahi kupanda ndege, hapo kwenye hiyo picha uliyoweka wanakaa abiria wa departure ambao tayari washakuwa checked in, sasa what I want ni sehemu gn wanakaa abiria ambao hawajakuwa checked in, yn nataka kuona abiria ambao hawaja chekiwa wanakaa wapi?