Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Habari ya Jan 27,2022
Walitumia £26m

Habari ya Feb 9,2022
Kumbe walielezea mkataba wa kwanza..
MD anasema zinatoka Germany, hii kampuni wanaandika ni ya Turkey..mtandaoni hii kampuni ni ya kutoka Poland.. which is which
20220615_215322.jpg
 
Sikiliza nikwambie ukweli we jamaa, inawezekana Mombasa kuizid Mwanza kwenye baadhi ya vitu, lakini kwa Kisumu 😂😂 hapana, Kisumu haiwezani with neither Arusha nor Mwanza .. Kisumu ni hakuna kitu mzee
i swear before God.. zunguka tanganyika yote from, darslam, mwanza, arusha, tanga, mbeya, dodoma, iringa, morogoro, moshi, tabora, kigoma, lindi, njombe, geita, sumbawanga, shinyanga, tarime.... zunguka tz yote.! hautapata streets safi kama hizi za kisumu.

(hizi photos mwenyewe nimepiga kwa simu yangu)

nb: kisumu na kigali pekee hapa east africa ndo mandugu wa toka nitoke tukija kwa swala la usafi.!

kisumu clean and smart city
Screenshot_20220615-221728_Gallery.jpg
20220321_161343.jpg
20220321_161352.jpg
20220321_161309.jpg
20220321_161125.jpg
20220428_153826.jpg
20220428_152856.jpg
20220321_161848.jpg
20220321_161942.jpg
20220321_162025.jpg
20220321_162128.jpg
20220428_150400.jpg
20220428_145947.jpg
20220321_162426.jpg
20220321_162350.jpg
20220321_162233.jpg
20210402_105022.jpg
20210402_104903.jpg
20210825_151134.jpg
20210825_151126.jpg
20210825_150911.jpg
20220606_220902.jpg
20220316_232809.jpg
20220316_232832.jpg
20220428_125201.jpg
20220411_132734.jpg
 
Tabora pia inapiga Kisumu kavu

Tatizo la kunyaland ni ukapurwa, ninyi ni wachafu by nature ndio maana unaona dumpster like Kisumu is anything to bragging about lakini kwa Tanzania ni miji yote ipo smart sababu usafi ni asili yetu

 
Iringa pia inatandika Kisumu hands down kama kumpiga mlevi tu

 
Yani mpaka sasa ndio mnajenga Conference center mnashindwa mpaka na arusha,dodoma au mbeya? Kwahyo kenya nzima ni Nairobi tu ndio kuna conference centers yaani inasikitisha sana
Hebu tuonyeshe hiyo conference center ya Mbeya tuone
 
Back
Top Bottom