Anakuingizia mentality za kwao za ukabilaKwahyo kwasababu mimi ni mzaliwa wa Tanga, ndio sifai kuitetea Mwanza.? Au Mwanza si Tz .?

Pengine we ni kipofu na hatujui, zingine tena under construction in Kisumu. Leo we mzee utaona tabu sana, ulianza na hatuna, ukaanza kulilia numbers, kidogo design sasa naona umeanza kulilia colors. 🤣 🤣 🤣leta evidence ya yellow seabuses zaidi ya mbili! Usituletee mitumbwi ya uvuvi unaita PAX ferries!
Hiyo nyingine sio seabus ni patrol boatHivi huoni aibu? Seabuses ziko mbili hiyo nyingine ni design nyingine!
nmesoma hii habari ..so last year tz GDP was 161.5 trillion which is 70 bil usd ....so kwa 4.7 means we will go to 73 to 74 bil usdKutoka rate ya 6-7% mpk rate ya 4-5%..
Hatutokfika kwa spidi kubwa kwa rate hii
mna cruise ship haina PAX boarding bridge is like having a Godown! Yaani imekaa kipumbavu as always anything built in Kunyaland!
Wewe mbwa si uliwekewa picha ya hili jengo likiwa safi limepigwa rangi upya? But again you were told that the building is not for vice president office, umeshindwa battle unarudia kitu ambacho ushapewa na evidence kitambo kama jana ukaweka Picha ya uchafu mto msimbazi wakati ulishawekewa picha humu za kusafishwa kwake.



yani hivi kwako uko very sure mwanza level yake mombasani... maajabu ya musa akiwa pamoja na firaoniNdio nilisoma, but still siwezi vumilia dharau za kukejeliwa Mwanza mbele ya tinny town kama Kisumu kwasababu naijui Mwanza vizur mno na ni ukweli uliowazi kabisa Mwanza is ahead of Kisumu every single aspect, except interchanges.. Mwanza mwenzake ni mombasa
Andamaneni mwaka mzima waandikieni barua wazungu wenu wawasaidie kuandamana pia.Ngorongoro sio KenyaKenyans to demonstrate in front of Tanzania embassy Nairobi over Ngorongoro evictionsView attachment 2260985
Huyu anamaanisha nini,Tanga ndyo nini sasa?Biggest port yet 50% ya cooking gas mnapitishia Tanga
Sikiliza nikwambie ukweli we jamaa, inawezekana Mombasa kuizid Mwanza kwenye baadhi ya vitu, lakini kwa Kisumu 😂😂 hapana, Kisumu haiwezani with neither Arusha nor Mwanza .. Kisumu ni hakuna kitu mzeeyani hivi kwako uko very sure mwanza level yake mombasa... maajabu ya musa akiwa pamoja na firaoni
View attachment 2261733View attachment 2261734View attachment 2261735View attachment 2261736View attachment 2261739View attachment 2261741View attachment 2261761View attachment 2261743View attachment 2261747View attachment 2261749View attachment 2261750View attachment 2261751View attachment 2261752View attachment 2261753View attachment 2261754
Humu ndan tukiitetea mwanza twaonekana wote kwetu mwanza 😅😂😂 Kwahyo kwasababu mimi ni mzaliwa wa Tanga, ndio sifai kuitetea Mwanza.? Au Mwanza si Tz .?
Unaleta mpaka private boat?Wewe unapenda tu kuropokwa. Heshimu miaka yako we mzee. 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
![]()
Ukabila mlionao Wakunya unatisha, kwahiyo huwezi kuisemea vizuri County ambayo hujatoka? Duh aisee kumbe Tanzania tunachukulia mambo for granted mno!Oya wewe ulisema unatokea Tanga sasa mbona huwa unaotetea Mwanza sana hivi?
Hamna water taxis zozoteSioni aibu wapi? Ulianza na kusema hatuna water taxis, nikakupea jibu, ukarudi kusema ziko mbili pekee, nikakupiga knockout. Sasa umerudi kulia lia tena kama mtoto na we ni mzee. 🤣 🤣 🤣 🤣
Ameweka mpaka ngalawa ya mtu binafsileta evidence ya yellow seabuses zaidi ya mbili! Usituletee mitumbwi ya uvuvi unaita PAX ferries!