Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
That's the only thing Kisumu inaweza shinda ARUSHA otherwise Kisumu level zake ni Moshi townKwanini tuitoe hio interchange na iko kisumu.
That's the only thing Kisumu inaweza shinda ARUSHA otherwise Kisumu level zake ni Moshi townKwanini tuitoe hio interchange na iko kisumu.
boda unaendelea kusoma kwa matako sio?Wacha hasira, nimeuliza kama hii mpya unaijua? 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
Nashindwa kukuelewa ni kitu Gani unajisifia nacho au una feel proud of😂😂 Mwanza for instance kuna vivuko mixer meli kibao yani kwakifupi sehemu iliyolala kwa miji mitatu (Mwanza, Kampala na Kisumu) iliyopo kando ya lake Victoria ni Kisumu pekee, Kisumu ndio inashika mkia ..Wacha hasira, nimeuliza kama hii mpya unaijua? 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
Airport, shipyard, real estate,railway, sea port etc kisumu iko juu.That's the only thing Kisumu inaweza shinda ARUSHA otherwise Kisumu level zake ni Moshi town
ARUSHA hakuna maji (ziwa) mzee wangu, Ila swala la real estate Kisumu is a joke mbele za ARUSHA, railway.? 😂😂.. airport zote zote kati ya Kisumu airport na Arusha ar under one category, which is airstripAirport, shipyard, real estate,railway, sea port etc kisumu iko juu.
Arusha ina vibrant tourism Kisumu haifikii hata robo hoteli za hadhi zilizopo Arusha!That's the only thing Kisumu inaweza shinda ARUSHA otherwise Kisumu level zake ni Moshi town
Hamna shipyard modern kama hii! As a matter of fact the whole Kunyaland haina!Airport, shipyard, real estate,railway, sea port etc kisumu iko juu.
Nyinyi mnajenga leo sisi tunayo miaka mingi iliyopita.No doubt Kenya is among the top countries in Africa in terms of healthcare. Yani kila hospitali hapa ikona shugli yake maalum.
Mental Health Hospital Under Construction.
![]()
East Africa Kidney Institute under construction
![]()
The Kenya Women & Children's Wellness Centre - Complete
![]()
Kenya National Research and Referral Hospital under construction
![]()
Children's Hospital complete.
![]()
Pediatric and Burns Centre under construction
![]()
Integrated Molecular Imaging Center - Complete
![]()
National Police Hospital - Almost complete
![]()
Kumbe unapenda ushindani tu hiyo ya juu na ya chini ina tofauti gani. Tizama garden na hizo arch za milango na madirisha utaoa kuwa ni nyumba hiyo hiyo. Ikulu Zanzibar ilifanyiwa matengenezo na kubadilishwa hayo madirisha na kuyaweka ya mbao bila ya rangi. Hizi Ikulu za Dar na Zanzibar zinafanana kwa siyejuwa lakini ni tofautiWacha kupotosha umma. Hiyo unayokataa ndio ya Dar and here is the proof
View attachment 2261915
Ya Zanzibar inafanana hivi ila zote Misikiti tu View attachment 2261912
Hata hospitali ya watoto hamna, hamna lolote hapo niliyopost.Nyinyi mnajenga leo sisi tunayo miaka mingi iliyopita.
Bado unaumwa, usijali utapoa tu. 🤣 🤣 🤣 🤣 Me sikukuambia ukuje kwa vita ya bunduki na kisu. MV Captain David Chuma mpya. Enda ulilie kwa choo we mzee.🤣🤣🤣 Hasira pelekea bibi yako nyumbani.boda unaendelea kusoma kwa matako sio?
Kwani cultural center si soko?Arusha Iko na soko?
Yapanue vizuri labda utaoiona! 👇Bado unaumwa, usijali utapoa tu. 🤣 🤣 🤣 🤣 Me sikukuambia ukuje kwa vita ya bunduki na kisu. MV Captain David Chuma mpya. Enda ulilie kwa choo we mzee.🤣🤣🤣 Hasira pelekea bibi yako nyumbani.
![]()
![]()
![]()
Hongera sana kaka.Juzi nimepita baadhi ya hizi barabara ulizozitaja sijakutana na vumbi hata mita 10 labda ambazo ziko kwenye matengenezo kasindaga, napo ni sehemu ndogo sana.Kweli hali ya hewa ni nzuri sana hii mikoa, kijani kibichi na mvua za kutosha.Najua humu Kuna watu mmetembea sana hapa Tanzania lakini kwa umri wangu mdogo nimewahi Ima kufanya kazi hata kwa wiki moja, au kuishi au kukanyaga kwenye mikoa yote yenye kivuli cha blue kama inavyoonekana kwenye ramaniI'm very proud kwa kutembea karibu mikoa yote ya TanzaniaView attachment 2261859View attachment 2261861View attachment 2261864View attachment 2261866yo I can tell you, hakuna hata barabara moja inayounganisha Kati ya mkoa mmoja na mwingine ambayo haina lami..
Na barabara nzuri zaidi zinapatikana kaskazini (North zone) kuanzia Tanga-Kilimanjaro-Arusha-Manyara, hizi barabara ni nzuri mno zote+ mazingira na hali ya hewa ya hii mikoa it's wow.! Lakini pia hii barabara ya Katoro-Runzewe & barabara kubwa ya Kahama-Runzewe-nyakanazi-Biharamulo
barabara nyingine ni ile ya Mwanza-Bunda-Musoma hii barabara ni kali mno
.. Cc Tony254 nyie barabara zenu zipo kwenye makaratasi tu hamtuwezi
Nafurahia sana kuona ukilia kama mbwa. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Pigwa kama mbwa leo, umekosa pakutorokea.Yapanue vizuri labda utaoiona! 👇
![]()
Hivyo vituo sasa
Mnapenda mambo mazuri lkn kutoa pesa hamtaki, toeni pesa wekeni mazingira mazuri kama sisi, starehe gharama.
aah wapi.!? kibaki alitenda makuu mzee..Kibaki alikuwapo akaenda, sasa uhuru anaenda! dude halijakamilika!