Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Biggest port yet 50% ya cooking gas mnapitishia Tanga
Hilo tatizo linaisha mwaka huu. Mashine hili linazinduliwa soon. Huoni tayari tumeshaanza kuongeza tax kwa gesi yenu hadi mnalia kama watoto wadogo?
 
Tumejenga dual roads na ring roads za kutosha na tunajenga interchange maeneo ya Usagara plus Busisi bridge hizo zote ni investment za kutosha
Sasa hizo ndio ziko na umuhimu, lakini zetu tunazojenga hazina umuhimu wowote?! Sour losers!
 
sasa vile vituo vya kati na choo wapi na wapi? Umeona wapi vituo vya basi vina vyoo? Manispaa ndo ijenge vyoo!
Hadi vituo vikuu vina kasoro kwenye vyoo. Vyoo vilijengwa kwa stuff tu ,sijui kama shule ikijengwa na vyoo vya walimu tu ni sawa? Vyoo vina mahesabu yake tena kuna aina ya vyoo kwenye vitu vya public.... sasa acha nikueleweshe kwenye vituo vikubwa kama sgr terminal, brt terminal, masoko, maktaba , mahospital,nk nilazima kuwe na aina tatu au zaidi za vyoo
1)VYOO VYA STAFF
2)VYOO VYA VIP
3)VYOO VYA WATEJA
4)VYOO VYA WAFANYA BIASHARA kwa ile miradi yenye biashara.
Hivyo injinia na ma design wanatakiwa kuzingatia hayo Geza Ulole
joto la jiwe
 
Step out of that fishing village ujue yanayoendelea duniani. Hizi accolades ni vitu tumezoea bongolala. Nashangaa mnafurahishwa nazo!View attachment 2261258View attachment 2261259View attachment 2261260View attachment 2261262
So hapo unataka kufananisha na back up ya utalii iliyopata Tz? Kutaja jina pekee bila kuonesha ni kitu gani mtalii atavutika nacho ndio ufananishe na kutajwa mt Kilimanjaro? Unaumwa mavi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watanzania hawawezi kusifia Kenya for anything hadi Yesu arudi. The closest they can come to praising Kenya ni ku-deny kwamba certain photos were taken in Kenya. Ukisikia ichoboy01 akisema kwamba hio picha sio ya Kisumu, hio ndio the closest atawahi kuja kusifia Kenya. It is a very indirect way of praising Kenya but we still accept it ichoboy. Tunajua ukisifia Kisumu directly utapigwa huku na wenzako.
 
So hapo unataka kufananisha na back up ya utalii iliyopata Tz? Kutaja jina pekee bila kuonesha ni kitu gani mtalii atavutika nacho ndio ufananishe na kutajwa mt Kilimanjaro? Unaumwa mavi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You making a great deal out of nothing bongolala. You didn't expect nilete hizo picha, sasa ni kutapatapa tu!
 
Mandera County headquarters.
Long live devolution!
FB_IMG_1655232361162.jpg
 
Hebu taja value ya investment huko Konza tulinganishe na ya Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji2][emoji2]
Wacha mambo mengi. Tunazungumzia planning. Mji upi upo well planned. Konza city nyaya za umeme zipo underground wakati nyaya za umeme za Dodoma zinaning'inia hewani.
 

Attachments

  • image_downloader_1655202418634.jpg
    image_downloader_1655202418634.jpg
    28 KB · Views: 22
Mlikosa conference center ya kufanyia huo mkutano ikabidi mtuaibishe wana East Africa kuandaa tents kama kambi za wakimbizi kwa ajili ya huo mkutano yani wakenya mbona hamna akili hivyo
Wacha kuweweseka bongolala. The convention center wasn't completed in time
images - 2022-06-15T095138.297.jpeg
images - 2022-06-15T095207.406.jpeg
 
Mlikosa conference center ya kufanyia huo mkutano ikabidi mtuaibishe wana East Africa kuandaa tents kama kambi za wakimbizi kwa ajili ya huo mkutano yani wakenya mbona hamna akili hivyo
sasa kama JKIA tent, utegemee nn hapo machokoroni Kisumu?
 
Back
Top Bottom