Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pengine we ni kipofu na hatujui, zingine tena under construction in Kisumu. Leo we mzee utaona tabu sana, ulianza na hatuna, ukaanza kulilia numbers, kidogo design sasa naona umeanza kulilia colors. 🤣 🤣 🤣

Ona Kazi safi na inayofanywa na mali safi safi. 😊

May be an image of 5 people, people standing and outdoors
Leta total number of vessels plying on kisumu, usituletee vipicha vya kujiibaiiba na kujibaraguza kama mnaweza kutunishiana misuli na Tanzania kwenye hii sector, hamuwezi hata muungane na Uganda
 
Wakati wengine wakisonga mbele yeye huwa anarudi nyuma.
Ubongo wake nadhani unatumia outdated software.
Anaweza post ujinga halafu ukamuumbua cha kushangaza kesho tena atarudia.
huyo mkenya anatabia za konokono ..
tabia zake si za binadamu
 
🇰🇪 254 ❤️‍
Image
Hivi ni vitu vya kawaida sana Bongo.. Nina picha nyingi mno ambazo nimepiga mwenyewe kwa mikono yangu nilikua nafkiria kuzipost humu lakini nimeona tu nipotezee niendelee kuwacheka mki brag vitu vidogo kama hivi, by the way nipo kwenye project ambayo kwasasa naifanya kuzunguukia mikoa ya kanda ya ziwa (lake zone) yote👇 hii mikoa (yenye shades za blue) Iko mbali mno kutoka Dar lakini yote ipo connected na barabara za lami safi mno, hata na zile barabara za kutoka na kuelekea to the capital of lake zone (Mwanza)
lake zone.jpg
 
Geza Ulole na ndugu zake wenye wivu wanataka kutudnganya eti 2 million passengers can be transported on 5 routes using 2 water buses only. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hata hawana aibu.

1655306517407.png
 
Geza Ulole na ndugu zake wenye wivu wanataka kutudnganya eti 2 million passengers can be transported on 5 routes using 2 water buses only. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hata hawana aibu.

View attachment 2261857
l
Geza Ulole na ndugu zake wenye wivu wanataka kutudnganya eti 2 million passengers can be transported on 5 routes using 2 water buses only. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hata hawana aibu.

View attachment 2261857
wacha kelele wewe! Mpo nyuma sana kwa water transportation! there are only 3 waterbuses! hiyo 5 million ni tangu waanze ku-operate!
Unbenannt.PNG

Pengine we ni kipofu na hatujui, zingine tena under construction in Kisumu. Leo we mzee utaona tabu sana, ulianza na hatuna, ukaanza kulilia numbers, kidogo design sasa naona umeanza kulilia colors. 🤣 🤣 🤣

Ona Kazi safi na inayofanywa na mali safi safi. 😊

May be an image of 5 people, people standing and outdoors
Huyo sio mzee, nashuku umemzidi miaka.
 
We pumba kweli nani kakuambia makamu wa raisi ndio anafanya kazi hapo? Hilo jengo ni la tangu 70s hapo kulikuwa na idara mojawapo ya VP office na idara ya madini na nishati miaka ya 80s. Propaganda peleka kibera.
Kijana wa Tandale, kama hilo sio jengo la makamu wenu wa Rais hayo maandishi yanafanya nini hapo? Alafu tupatie basi picha ya jengo la ofisi yake kama kweli hiyo sio ofisi yake. Kama huna jibu usije na povu hapa
 
Sasa hii utasemaje, na ujue hii sio product from our biggest shipyard in SSA. Hii ni ya private investor in Mombasa. Watu wanacheza na chuma wewe unatuonyesha boat za fibre glass, ambayo hata vijana wa mtaa wanaweza unda. 🤣 🤣 🤣 🤣

Southern Engineering Co. Ltd (SECO) is an ISO accredited, Marine and  Offshore Engineering Company in Kenya
SECO:The marine engineering experts - CCE l ONLINE NEWS
Mwambie akuonyeshe shipyard moja dar, mombasa ina mbili.
 
Sikiliza nikwambie ukweli we jamaa, inawezekana Mombasa kuizid Mwanza kwenye baadhi ya vitu, lakini kwa Kisumu 😂😂 hapana, Kisumu haiwezani with neither Arusha nor Mwanza .. Kisumu ni hakuna kitu mzee
Kisumu imeshinda Mwanza and Arusha in almost everything.
 
Back
Top Bottom