Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Habari ya Jan 27,2022
Walitumia £26m

Habari ya Feb 9,2022
Kumbe walielezea mkataba wa kwanza..
MD anasema zinatoka Germany, hii kampuni wanaandika ni ya Turkey..mtandaoni hii kampuni ni ya kutoka Poland.. which is which
View attachment 2262072
Hakuna Eurowagon Turkey kampuni iko Poland.
 
Heb toka kwenye huo usingiz mzito uliolala utajikojolea..
 
FVM9UH8WQAAsZHE.jpeg

FVM9UH8XEAAmLPx.jpeg
 

Kisumu ni hatari sana, yani ina battle Mwanza, Moshi, Dodoma, Arusha, Mbeya and Singida at the same time. 🤣🤣🤣🤣
 
Kisumu ni hatari sana, yani ina battle Mwanza, Moshi, Dodoma, Arusha, Mbeya and Singida at the same time. 🤣🤣🤣🤣
Endelea kujitia ukichaa, kazi kwako, nilitegemea ungeitetea Kisumu isidhurike kwenye mikono ya Dom
 
Back
Top Bottom