Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati TRA ilimiss revenue target yake by around $2b,
View attachment 2262078



KRA inatarajia kupitisha target yake by more than $1.4b
Kwa sasa hivi watanzania hatuna ujanja chini ya huyu mpumbavuu tuliyenaye uchumi wa ethiopia unatazamiwa kukuwa kwa asilimia zaidi ya 10% wakati wa tz kwa sasa uchumi wetu unakwenda kukua kwa asilimia 2% au 3% tu. Japokuwa tupo kwenye huu uzi ila kiukweli hakuna chochote cha maana kinacho fanyika tz ...zaidi ya kumalizia kifisadi miradi aliyo acha jpm basi.kwa dar hakuna barabara yoyote mpya inayo jengwa wala kuboreshwa .
 
Dodoma imeparara sana ni vumbi tu, sasa leta real estate ya Mwanza tuone. 🤣🤣🤣🤣

Kisumu kiboko yao.

No photo description available.
 
Dodoma imeparara, nyumba tudogo zinafana na tea estates. 🤣 🤣 🤣
Unatafuta gea ya kutokea.? 😂😂😂 Hapa huchomoki sister .. Kisumu haiwezani hata na current state ya DODOMA, sitaki niseme future lahasha uko utakufa bure
 
Back
Top Bottom