Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Najua humu Kuna watu mmetembea sana hapa Tanzania lakini kwa umri wangu mdogo nimewahi Ima kufanya kazi hata kwa wiki moja, au kuishi au kukanyaga kwenye mikoa yote yenye kivuli cha blue kama inavyoonekana kwenye ramani 👇 I'm very proud kwa kutembea karibu mikoa yote ya Tanzania
yo I can tell you, hakuna hata barabara moja inayounganisha Kati ya mkoa mmoja na mwingine ambayo haina lami..
Na barabara nzuri zaidi zinapatikana kaskazini (North zone) kuanzia Tanga-Kilimanjaro-Arusha-Manyara, hizi barabara ni nzuri mno zote ✅ + mazingira na hali ya hewa ya hii mikoa it's wow.! Lakini pia hii barabara ya Katoro-Runzewe & barabara kubwa ya Kahama-Runzewe-nyakanazi-Biharamulo ✅ barabara nyingine ni ile ya Mwanza-Bunda-Musoma hii barabara ni kali mno ✅.. Cc Tony254 nyie barabara zenu zipo kwenye makaratasi tu hamtuwezi