chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,124
Sijui kinawashinda nini na wapo kwenye uchumi ya uundaji magari 😂😂😂Hapa Biashara ya Kuzoa taka wameicha tu duh, Hela kibao hapa.
Sijui kinawashinda nini na wapo kwenye uchumi ya uundaji magari 😂😂😂Hapa Biashara ya Kuzoa taka wameicha tu duh, Hela kibao hapa.
Unapata tabu, pipeline haikuwa na lami or cabro some time back kukinyesha inakua kero, afterwards Mike Sonko alicheza kama yeye na kuweka cabro n some places termack., haupati yale una post in 2022.., ama leta evidence ya 2022., ona sasa 👇 👇 ., mbona inawauma sana kuona Nairobi inaboreshwa? zoea najua ni uchungu😂 😂 😂 😂 😂 😂hebu tazama hzi picha mbili ziko sehemu moja kweli 😂😂😂 au unatafuta nafuu
View attachment 2260471View attachment 2260470View attachment 2260472View attachment 2260473View attachment 2260474
Tuliangalie angalie hili mkuu kwa baadaye linaweza kutulipa, labda kama utakuwa mkubwa sana.Mkwanjaa tuu
Sawa mkuu mawazo yako yanaheshimiwa.Naujua uchumi wa Tanzania na Mwanza vizuri sana, na ninaweza kukuhakishia kuhusu huyo Muwekezaji siyo kama mnavyoambiwa, kama ni kweli ipo siku mtarudi hapa kuja kulalamikia haya mnayoyasifia!
Hapa BRT ikipita chini cjui itakuwaje aisee.Mzizima Towers CladdingView attachment 2260476View attachment 2260477View attachment 2260478
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Asante kwa tbt, njoo kivingine.umeumia sana kwani mm ndio nimepiga picha 🤣🤣🤣🤣View attachment 2260461View attachment 2260462View attachment 2260463View attachment 2260464
Kama render mwananguMzizima Towers CladdingView attachment 2260476View attachment 2260477View attachment 2260478
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app






Wenyewe wanasema aliua uchumi wa kaskazini 😔Magu kaiamsha sn hii nchi, watu walikuwa wanafanya mambo bora liende ilimradi ana 10% yake, lkn bwana yule akasema hapana kuna faida kubwa tunaipata tukitanguliza nchi mbele kuliko 10%, now at least tumeanza kuenjoy umuhimu wa uzalendo, 10% tumewaachia failed state.
He he mnaona daladala hizo, lakini ukija JF watakwambia hazitumiki.Mzizima Towers CladdingView attachment 2260476View attachment 2260477View attachment 2260478
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wahuni wachache waliopewa visenti ndio wanaropoka ropoka lkn kila mtu mwenye akili timamu anaujua ukweli.Wenyewe wanasema aliua uchumi wa kaskazini![]()
Choko master? DuuuKuweni kama Coco Master msiangaike kujibizana na upumbavu, Mimi kuna watu post zao si somi nafanya Ku scroll down.
Nani kakuambia dala dala hazitumiki? Hapo kuna BRT inakuja hutoona huo ushuzi tena, sisi tuna akili kubwa hapa EA na ndiyo maana unaona mambo yetu yanaenda, baada ya BRT kupita hapo zen hayo mabasi hutoyaona CBD na ndipo Dar itatangazwa rasmi kuwa one of the few African cities to be organized.He he mnaona daladala hizo, lakini ukija JF watakwambia hazitumiki.
Unapata tabu, pipeline haikuwa na lami or cabro some time back kukinyesha inakua kero, afterwards Mike Sonko alicheza kama yeye na kuweka cabro n some places termack., haupati yale una post in 2022.., ama leta evidence ya 2022., ona sasa 👇 👇 ., mbona inawauma sana kuona Nairobi inaboreshwa? zoea najua ni uchungu😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2260475
View attachment 2260482
View attachment 2260483
Ni kweli alihamisha wanyama kutoka sehemu nyingine lakini tangu awali walikuwepo, na iliitwa Burigi game reserve,ikizinguka pori la Kasindaga ambalo liko Biharamulo na Muleba, pori la Kimisi liko Karagwe.Haya mapori yote ndio yalitengeneza game reserve inayoitwa Burigi ,Wizara ya maliasili ikaipandisha hadhi na kuitwa Burigi Chato national park.Kadanganye wajinga! Wanyama walihamishwa kwenda Burigi! Upimbi aliofanya mwendazake ni kukandamiza wadau wautalii wa Kaskazini akidhani utalii hujengwa kwa mabavu! Na ndo ilikuwa hulka yake hata Kikwete alilalamika!
Utalii siku zote ni mashirikiano wenye hoteli, conferences, airlines, restaurants, souvernir, Bureau de Change na tour firms Arusha wana hoteli Zanzibar au washirika na vice versa!
Ndo maana idea yake ya kupeleka utalii Chato imekufa nae! Southern corridor itakuwa kama Northern kwa vile private sector ndo inafanya mambo kule kwa ushirikiano na Northern circuit na Zanzibar!
Hawa ni tbt tu watapata kuhusu Nairobi, 2022 Nairobi imepiga hatua, hii inawaumiza sana, wamebaki na historia kujiliwaza.., sasa Naona after siasa, baada ya kuzindua miradi inayoendelea Mombasa., Dar tuwachane ipambane na mwenzake Mwanza na Arusha., hapa mchezo umeisha sasa wapige siasa zao..,Asante kwa tbt, njoo kivingine.
Wakenya mnataka kuiua dar Port kabisa ifungwe., punguzeni speedychongchung coodip1 Geza Ulole nyie watatu ndio hufikiri kwamba Dar is a slum port inaweza kushindana na Mombasa port. Hii hapa ni new berth nambari 22 inafanyiwa testing kabla ya uzinduzi. Hii berth mpya ina capacity ya 450,000 TEUs na itafanya total capacity ya Mombasa port kufikia 2.1 million TEUs. Ikumbukwe Dar port inahandle chini ya 1 million TEUs. Hii ni meli ya kwanza kudock kwa hio berth.
View attachment 2260465View attachment 2260466View attachment 2260467View attachment 2260468View attachment 2260469
Cc tuusan
Sasa kama tangu awali walikuwapo mbona ahamishie wanyama kule? Hao simba 17 na wanyama wengine tusiojua? wacha ubishi mzee kuna wanyama walihamishiwa kule! End of the story! Watu wa Biharamulo wamekataa Burigi kuitwa Burigi-Chato NP wanataka iitwe Burigi NP!Ni kweli alihamisha wanyama kutoka sehemu nyingine lakini tangu awali walikuwepo, na iliitwa Burigi game reserve,ikizinguka pori la Kasindaga ambalo liko Biharamulo na Muleba, pori la Kimisi liko Karagwe.Haya mapori yote ndio yalitengeneza game reserve inayoitwa Burigi ,Wizara ya maliasili ikaipandisha hadhi na kuitwa Burigi Chato national park.
Malalamiko ya wana Biharamulo ni kwanini hifadhi iko kwao na inaitwa Chato,why isiitwe Biharamulo national park au Burigi national park?
Kuna ziwa ambalo liko Biharamulo linaitwa Ziwa Burigi. So wanyama wamekuwepo kitambo sana kabla hifadhi haijapandishwa hadhi.












Mkuu inaonekana kuna kitu unakijua zaidi ambavyo tunajua. Sibishi tena wala kuongeza neno ,ngoja tujipe muda tutaujua ukweli.Naujua uchumi wa Tanzania na Mwanza vizuri sana, na ninaweza kukuhakishia kuhusu huyo Muwekezaji siyo kama mnavyoambiwa, kama ni kweli ipo siku mtarudi hapa kuja kulalamikia haya mnayoyasifia!