Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majirani wana kimbelembele sana trying to punch above their height.

Kenya Calls For Immediate Action After North Korea Fires 8 Missiles, Threatening World Peace

News Hub Creator

Jun 11, 2022 1:23 PM

Fear have engulfed Kenya after the Republic of North Korea was reportedly to have fired eight missiles using ballistic technology, this will be another way of elevating the already worse situation, thus compromising the existing peace in the Korean Peninsula.

Martin Kimani who is a Kenyan Ambassador in United Nations released his speech during United Nations Security Council meeting where he called on all member states to take immediate action to reverse the impending calamity that may be triggered by the war.

Mr Kimani worrieldly said that world nations are not safe from the war that may result as North Korea is using weapons of high quality. Kimani also noticed that Kenya is much concerned with non existence of diplomatic negotiations to resolve an ongoing disagreements which might increase the tensions and exposure to any possible disaster.

Kimani also related the effect of the war between Ukraine and Russia, which has caused adverse effects on the country, increasing poverty and economic hardships. His statement was meant to justify to Kenya to make a call for immediate action to peacefully stop North Korea from unleashing more ballistic missiles in Korean peninsula. He also appealed with all member states to stand firm and take action to stop another war from breaking out.
Nyie ni sawasawa na watu mnaotingisha mbuyu kumbe mnatingisha makalio yenu
 
Mi sijui mimi focus yangu ni kwa JPM labda ukabila wangu ni kwa malaika tu!
Mkuu, hata Magufuli ungemuambia ni mkabila angekataa, lakini watu ndio waliona(wewe) yeye ni mkabila, ndivyo sisi watu wa nje tunavyoona mazungumzo yako. Wewe ni mkabila Sana, kiburi na kutojali mawazo ya wengine, kujifanya mjuaji wa kila kitu.

Kama ukipewa madaraka hata ya mkuu wa Wilaya, ungemzidi hata Sabaya, mkuu wewe ni hatari, hufai hata kidogo.

Magufuli pamoja na kiburi chake chote, ukatili wake wote, wewe ni zaidi, huo ndio ukweli mkuu. Samahani Sana Kama nitakukera, lakini ni vizuri tuambiane ukweli, hatujuani kwa sura, ni rahisi kurekebishana.
Tony254
Justinr
The best 007
ichoboy01
game over
NDINDA
7seven

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hata Magufuli ungemuambia ni mkabila angekataa, lakini watu ndio waliona(wewe) yeye ni mkabila, ndivyo sisi watu wa nje tunavyoona mazungumzo yako. Wewe ni mkabila Sana, kiburi na kutojali mawazo ya wengine, kujifanya mjuaji wa kila kitu. Kama ukipewa madaraka hata ya mkuu wa Wilaya, ungemzidi hata Sabaya, mkuu wewe ni hatari, hufai hata kidogo. Magufuli pamoja na kiburi chake chote, ukatili wake wote, wewe ni zaidi, huo ndio ukweli mkuu. Samahani Sana Kama nitakukera, lakini ni vizuri tuambiane ukweli, hatujuani kwa sura, ni rahisi kurekebisha a.
Tony254
Justinr
The best 007
ichoboy01
game over
NDINDA
7seven

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
100% sure.
 
Alafu Wakunya hizi simu zenu ni za aina gani? Mbona karibia wote simu zenu hazikai chaji most of the time, wallahi I bet ufukara mlionao hauna kipimo ikiwa hata vitu vidogo tu vinawashinda basi mnunue japo betri mana najua simu zenu nyingi betri ni za kuchomoa. Mpaka wa leo watu wanatumia simu betri ya kuchomoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
If I'm sure of having electricity all the time why should I be worried about my phone charge? Najua Tanzania kukatika kwa stima ni kitu cha kawaida so lazima mkuwe tu na fear of your phones going off if you don't fully charge once.
 
Mkuu, hata Magufuli ungemuambia ni mkabila angekataa, lakini watu ndio waliona(wewe) yeye ni mkabila, ndivyo sisi watu wa nje tunavyoona mazungumzo yako. Wewe ni mkabila Sana, kiburi na kutojali mawazo ya wengine, kujifanya mjuaji wa kila kitu.

Kama ukipewa madaraka hata ya mkuu wa Wilaya, ungemzidi hata Sabaya, mkuu wewe ni hatari, hufai hata kidogo. Magufuli pamoja na kiburi chake chote, ukatili wake wote, wewe ni zaidi, huo ndio ukweli mkuu. Samahani Sana Kama nitakukera, lakini ni vizuri tuambiane ukweli, hatujuani kwa sura, ni rahisi kurekebishana.
Tony254
Justinr
The best 007
ichoboy01
game over
NDINDA
7seven

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
watu wenye upeo huambatanisha facts na wanachoongea! Otherwise what u just wrote is a lame duck accusation! So chill out Magufuli worshipper! Najua nakukera halafu nagonga hapohapo Magufuli ni Mkabila wa Kisukuma!
 
Mbona sijasikia wengine waliokuwa kwenye security Council wakipanua domo kama Kenya? Hata kwa Russia si mlipayuka hivihivi baadae mkaufyata kwa aibu.
Kenya concern is insignificant to the big boys of this world you just have to know your place in the world affairs.
Nikisema wewe ni keyboard warrior mshamba hua sijakosea. UN Security Council hua na mikutano yao na every member hutoa mapendekezo yake. So ukisema hujaskia wengine wakiongea, kwani unaishii Kwa continent gani kama sio Africa na mwakilishi wa Africa ni Kenya. Ukitaka hata kuskia reviews za Denmark unaweza lakini media zetu hazina haja na mapendekezo ya Denmark ju wao wanawakilisha Nordic countries.
 
Geza Ulole Wakenya hatutawacha hili jambo la Ngorongoro lipumzike. Tutahakikisha kwamba dunia nzima inajua kwamba nyie wajinga mnatesa wamaasai wenu. Ona neno Ngorongoro inatrend kwenye twitter ya Kenya nambari 6. Mtu yeyote anayeingia twitter Kenya atajua mlichowafanyia Wamaasai wenu. Halafu tunahakikisha media zote za dunia akina BBC, CNN wamejua mnachowafanyia wamaasai.
View attachment 2257486
Hadi media za Kenya zinaonyesha habari wakati mkuu wa mkoa Arusha anasema hakuna majeraha yametokea. Tanzanian media ni bure

Screenshot_20220611-215218.jpg
 
What are you producing and where do you sell those manufactured goods while all East African countries do import from Tanzania including Kenya?, Tanzania is the biggest exporter in this region.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya we do value addition because we are more educated and have more industries.

Hivi unajua the best and biggest highway in east and central Africa imeconnect industrial town kwa jina 'thika' to Nairobi. That's how much we value industries in Kenya.
FB_IMG_16513210669370417.jpg
 
Matunda ya project za JPM hayo.... ingekuwa ndoto hadi tunakufa tusinge shuhudia sgr ya imeme tz ....sasa mama sa100 katuletea project za kukatana mapanga kama panya road project za mama hizi panya road fashion...arafu kuna mbwa wanasema panya road panya road kumbe panya road ni serikali yenyewe ...hata madawa ya kulevya wanauziwa na viongozi wa nchi
JamiiForums-396532895.jpg
JamiiForums1140110544.jpg
JamiiForums-1917629411.jpg
 
This is good evidence that Tanzania wanaleta raw materials (unfinished goods) alafu Kenya tunawarudishia kama finished goods. Hakuna vile munaweza ingiza lorry 3300 per month na sisi tuingize lorry 1000 na bado tuwashinde kwa export revenue. Yani mukileta gunia za viazi tunawarudishia kama packets of crisps, mukileta gunia za pareto tunawarudishia kama insecticides, mukileta gunia za machungwa tunwarudishia kama bottles of juice.

Image
You might think its Tanzanians crossing over to Kenya to sell but no, its Kenyans crossing over to Tanzania to buy and bring the goods to Kenya[emoji23][emoji23]
 
You might think its Tanzanians crossing over to Kenya to sell but no, its Kenyans crossing over to Tanzania to buy and bring the goods to Kenya[emoji23][emoji23]
endelea kujidanganya few weeks back there were trucks lined up at Namanga and there were over 90% Tanzanian registered trucks!

Nikisema wewe ni keyboard warrior mshamba hua sijakosea. UN Security Council hua na mikutano yao na every member hutoa mapendekezo yake. So ukisema hujaskia wengine wakiongea, kwani unaishii Kwa continent gani kama sio Africa na mwakilishi wa Africa ni Kenya. Ukitaka hata kuskia reviews za Denmark unaweza lakini media zetu hazina haja na mapendekezo ya Denmark ju wao wanawakilisha Nordic countries.
Acheni ukimbelembele wa kutumwa na Marekani kuweni na stand yenu kama Taifa.
 
endelea kujidanganya few weeks back there were trucks lined up at Namanga and there were over 90% Tanzanian registered trucks!

Geza i knw what im saying, we go for rice all the way to morogoro , timber, sunflower cake, rice bran, tunazileta kenya to sell, you think we come with empty kenyan lorries, zii mzee nikitaka lorry kuna hapo msamvu nitapata ata semi itinge Nairobi, kazi yenyu ni kungoja wakenya waje kununua[emoji23]
 
Mkuu, hata Magufuli ungemuambia ni mkabila angekataa, lakini watu ndio waliona(wewe) yeye ni mkabila, ndivyo sisi watu wa nje tunavyoona mazungumzo yako. Wewe ni mkabila Sana, kiburi na kutojali mawazo ya wengine, kujifanya mjuaji wa kila kitu.

Kama ukipewa madaraka hata ya mkuu wa Wilaya, ungemzidi hata Sabaya, mkuu wewe ni hatari, hufai hata kidogo. Magufuli pamoja na kiburi chake chote, ukatili wake wote, wewe ni zaidi, huo ndio ukweli mkuu. Samahani Sana Kama nitakukera, lakini ni vizuri tuambiane ukweli, hatujuani kwa sura, ni rahisi kurekebishana.
Tony254
Justinr
The best 007
ichoboy01
game over
NDINDA
7seven

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Inashangaza sana
 
Back
Top Bottom