Ninyi wakenya ni wapumbavu Sana, mara nyingi huwa ninamuambia
Tony254 kwamba, ninyi mnajiona mpo "very perfect", kila mnachofanya ninyi mnadhani ni sahihi, lakini nchi zingine zikifanya kwa sababu zao, ninyi kwenu mnaona hiyo sio sawa, punguzeni kujifanya ninyi mpo sawa, hiyo ndio sababu kubwa hamuelewani wenyewe kwa wenyewe, kila mkenya anajiona yeye yupo sahihi kuliko mkenya mwengine.
Jambo lingine ambalo linawanifanya niwaite wapumbavu ni kwasababu, hamjui Mambo kwa undani badala yake mnavamia kwenye mitandao. Sababu ya kuwapunguza hao Masai huko Ngorongoro na Loliondo ni kutokana na kuongezeka kwa watu kuzidi idadi inayokubalika, na huu utaratibu wa kuwahamisha, ulianza muda mrefu, wengi wamepewa mashamba katika Wilaya ya Handeni, Tanga na wameondoka kwa hiari na serikali iliwasaidia kuwasafirisha, Kuna wachache waliobaki na wengi walijipenyeza ili wapewe mashamba Bure lakini sio wenyeji wa hayo maeneo
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app