joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kawaida reasoning yako ipo chini Sana, Sasa ukitumia jina Kama Tony, Kuna Tony wangapi huko Kenya?, Kwanza Kuna uhakika gani kwamba kweli jina lake ni Tony?. Ninyi siku zote ni watu wenye uwezo mdogo Sana wa kufikiria mambo, matokeo yake ni uzushi na kuandika upumbavu hapa JFna pia huku jf nimegundua, majina za hawa watanganyika wote ziko Coded. hivi hakuna ata moja aliyeandika jina lake rasmi kama vile mimi Fredy ama ata Tony, iamLee, Don YF, MwathaDan, etc... kisa.! wanahofia kukua lebeled na kuchunguzwa na maofisa wa 'Usalama wa Taifa' kwa sensitive content zozote watakazo weza kupost humu. pia hakuna siku utawahi ona picha ama nyuso zao live.!!??
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app




