Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo kulingana na wewe mpinzani hawezi kua na maono sawa?
kumbe pele limepata mkunaji ndio maana nashangaa kwann wakenya wameshikilia bango hili kumbe penye kidonda ndipo dawa ilipoingia 😂😂
 
5CF2F102-99FC-432C-B5FB-CFEDC7B0B31D.jpeg
B28AEF09-BF8C-42AD-8867-A6522EDDDB94.jpeg

Tony254
njoo utoe mchango wako na ww😂😂

Hii ishu mbona wakunya wanaishobokea mnoo!
Wameona ndio ahueni yao kwenye utalii, c unakumbuka ile ishu ya Zanzibar walipambana lkn wapii, Wakenya wanaiogopa Tz ktk kila angle c kwenye utalii pekee, hata EACOP uliona walivyopambana juzi kati lkn napo wameshindwa. Hawa ni wafalme wa kukosa kila siku kama walivyojitangazia juzi kugundua mafuta lkn napo wapii.

Infact Wakenya wanaifuatilia Tz kuliko nchi yoyote duniani
 
Kuna watanzania wanashindwa kung'amua ni vita ya uchumi!
 
Kunyaland endeleeni na kuzusha huko Ngorongoro mkijua ndio labda tutarudi nyuma kiuchumi..

Mshachelewa ndio kwanza mama SSH anazidi kuupiga mwingi huku kwenye LPG 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220611-144649.png
    Screenshot_20220611-144649.png
    110.8 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220611-144834.png
    Screenshot_20220611-144834.png
    101.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220611-144933.png
    Screenshot_20220611-144933.png
    112 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220611-144850.png
    Screenshot_20220611-144850.png
    110.6 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220611-145236.png
    Screenshot_20220611-145236.png
    100.7 KB · Views: 14
Mbwa za Kunyaland zinashadidia upuuzi wakidhani ndio wataharibu utalii wetu..

Hali halisi huko Ngorongoro mda huu 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220611-164646.png
    Screenshot_20220611-164646.png
    81.3 KB · Views: 7
Ni mwendo wa kuupiga mwingi hadi Kunyaland wachanganyikiwe 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220611-164336.png
    Screenshot_20220611-164336.png
    168.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220611-164214.png
    Screenshot_20220611-164214.png
    222 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220611-164547.png
    Screenshot_20220611-164547.png
    73.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220611-145236.png
    Screenshot_20220611-145236.png
    100.7 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220611-144959.png
    Screenshot_20220611-144959.png
    64.3 KB · Views: 10
Wameona ndio ahueni yao kwenye utalii, c unakumbuka ile ishu ya Zanzibar walipambana lkn wapii, Wakenya wanaiogopa Tz ktk kila angle c kwenye utalii pekee, hata EACOP uliona walivyopambana juzi kati lkn napo wameshindwa. Hawa ni wafalme wa kukosa kila siku kama walivyojitangazia juzi kugundua mafuta lkn napo wapii.

Infact Wakenya wanaifuatilia Tz kuliko nchi yoyote duniani
Geza Ulole Wakenya hatutawacha hili jambo la Ngorongoro lipumzike. Tutahakikisha kwamba dunia nzima inajua kwamba nyie wajinga mnatesa wamaasai wenu. Ona neno Ngorongoro inatrend kwenye twitter ya Kenya nambari 6. Mtu yeyote anayeingia twitter Kenya atajua mlichowafanyia Wamaasai wenu. Halafu tunahakikisha media zote za dunia akina BBC, CNN wamejua mnachowafanyia wamaasai.
Screenshot_20220611-163811.jpg
 
Back
Top Bottom