Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Soja ameona hiyo WIFI Yako kweli? Bado hajasema ni ya shule?😂😂Geza Ulole Wakenya hatutawacha hili jambo la Ngorongoro lipumzike. Tutahakikisha kwamba dunia nzima inajua kwamba nyie wajinga mnatesa wamaasai wenu. Ona neno Ngorongoro inatrend kwenye twitter ya Kenya nambari 6. Mtu yeyote anayeingia twitter Kenya atajua mlichowafanyia Wamaasai wenu. Halafu tunahakikisha media zote za dunia akina BBC, CNN wamejua mnachowafanyia wamaasai.
View attachment 2257486

