Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We keyboard warrior mshamba, Kenya iko kwa UN Security Council, usiwe mjinga bana.
Mbona sijasikia wengine waliokuwa kwenye security Council wakipanua domo kama Kenya? Hata kwa Russia si mlipayuka hivihivi baadae mkaufyata kwa aibu.
Kenya concern is insignificant to the big boys of this world you just have to know your place in the world affairs.
 
Mkuu, Kama unakataa kwamba wewe sio mkabila, basi haupo sawa kichwani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukabila wangu umeujua pale tu nilipoanza kum-expose Magufuli tena kwa facts! Hebu leta
Sidhani kama ww uko fare, kwaiyo ulitaka wafrahie wanapo ona matlaba kila sehem? Angalia aina ya ubadhilifu ulio fanywa serikalini, vipi kuhusu endess increasing of inflation,safari hata zisizo na tija, saivi kila kiongozi ni kupishana airport wakati wananchi wana kila aina ya matatizo na ni mwaka moja, Tukutane hapa bada ya miaka 2 utaniambia kama hatutakuwa na unbeable debt kama kenya au Ghana. Hata km kulikuwa na ubadhilifu kipindi cha jiwe lakin na maendeleo ya kweli yalionekana na promising future
Itoshe kusema mwenda zake aliacha viatu vikubwa, sasa mvaaji vinampwaya ulitaka watu waseme vimemtosha wakati mvaaji anakubali nivikubwa?
sasa kwani malaika hakuwa anafanya upuuzi wake pia?
 
Tanzania signs LNG framework agreement with Equinor and Shell

Reuters

Jun 11, 2022 4:59 PM

Equinor's flag in Stavanger, Norway. REUTERS/Ints Kalnins/File Photo


DAR ES SALAAM, June 11 (Reuters) - Tanzania signed a framework agreement on Saturday with Norway's Equinor (EQNR.OL) and Britain's Shell that will bring closer the start of construction of a $30 billion liquefied natural gas (LNG) export terminal, live video from the event showed.
Energy Minister January Makamba said the signing would pave the way for a final investment decision in 2025 on the facility,

construction of which near huge offshore natural gas discoveries in deep waters off Tanzania's southern coast has been held up for years by regulatory delays.

"Today's step is very important," Makamba said in a speech during the signing ceremony at the state house in Tanzania's capital Dodoma, also attended by President Samia Suluhu Hassan and top officials from energy companies.

Jared Kuehl, Shell's vice president and board chairman in Tanzania, said at the ceremony: "We believe Tanzania has advantages because it has a strategic location and the opportunity to deliver a competitive and investable project."
Equinor, which had in 2021 booked a $982 million writedown on the project having decided it would not be sufficiently profitably, said in a statement it was too early to say whether it would reverse that writedown as a result of the deal announced on Saturday.

Equinor and Shell, along with Exxon Mobil (XOM.N), Ophir Energy and Pavilion Energy, plan to build the LNG plant in the country's Lindi region.
Equinor operates Tanzania's Block 2, in which Exxon Mobil also holds a stake and which is estimated to hold more than 20 trillion cubic feet (0.6 trillion cubic metres) of gas.

Equinor aims to work on the LNG project with Shell, which operates Block 1 and Block 4, with 16 trillion cubic feet in estimated recoverable gas.
Tanzania already uses some of its natural gas discoveries for power generation and to run manufacturing plants. It also plans to build a fertiliser plant.
The government has put the country's total estimated recoverable gas at 57.54 trillion cubic feet.
 
9900 lories from Tanzania translates to $118M. 3000 lories from Kenya translates to $138M. In simple terms Kenya export less valuable products to Tanzania while Tanzania export more cheap products to Kenya.
Ndiyo hii hapa chini nakuwekea mana nilikuambia hakuna namna mtaizidi Tz kwenye exports labda mzuie lorries zetu alafu mkimbilie kutoa takwimu faster kama mlivyofanya jana

 
Ukabila wangu umeujua pale tu nilipoanza kum-expose Magufuli tena kwa facts! Hebu leta

sasa kwani malaika hakuwa anafanya upuuzi wake pia?
Kwani mkuu hata wewe ukabila wa Magufuli uliujua baada ya yeye kufariki?. Mkuu sema ukweli, inaonekana Kama vile haupo sawa kichwani, hii ni dalili ya msongo wa mawazo, ninahisi Nyumbani huko na shemeji yetu Mambo hayaendi vizuri, Kama unamiliki bastola tafadhali kaa mbali nayo. "Geza you are not normal mentally, please take care of yourself and your family".
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha The best 007 bado unaamini kwamba Wakenya hatuna wi-fi kwa nyumba? Nyie huko kwenu kuwa na wi-fi kwa nyumba naona ni jambo kubwa sana.
Niko home hapa as I type, mambo ya kawaida tu hayo.
Screenshot_20220611-200953.jpg
 
Yeye alimuona mbowe tuu Ndio aliyeonewa ila wakina mo dewji, sumaye, ruge, manji na wengine kibao hajawaona
Yaani Rugemalila umlinganishe aliyekwapua fedha za Escrow na mwanasiasa ambaye kosa lake ni itikadi tu? Katika hiyo list anaykaribiana na Mbowe ni Sumaye tu!
 
Na wewe unaamini kwa uwiano wa lorries 150 kwa 80 za kunyaland mnatuzidi?
Yes. Raw materials are always cheaper than manufactured goods. Tanzania is exporting raw materials, Kenya is exporting manufactured products.
 
Back
Top Bottom