Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Mwanangu ungekua muimba taarabu ungefika mbali sana.Wakenya ni watu wenye roho mbaya sana na hapa wanazidi kuthibitisha roho yao mbaya iliyoota mizizi, wao kila baya likitokea Tz wanajitahidi kulipeleka viral huku lengo lao likiwa ni kuharibu taswira ya Tz ili watalii waende kwao, kulaniwa kwao na Mwenyezi Mungu mpaka kukosa mali zingine ukiacha wanyama basi ndio wamekuwa wakipambana na Tz kwa kila hali ili tu wapate pate watalii japo kidogo.
Roho zinawauma wanapoona Tz inawapiga kote kote, Wakunya msiweke chuki na Tz bali muulizeni muumba ilikuwaje akawalaani mkakosa mali na akili hapa duniani![]()
