Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Like i said money liquidity has nothing to do with money supply.
Pia kuna njia nyingi za kuongeza pesa kwenye mzunguko sio lazima kwa kuongeza mishahara, ambayo haina direct relation with efficiency of workers ili kuongeza uzalishaji, mfano kipindi cha mwenda zake tumeshudia serikali ikijikita zaidi kwenye ujenzi kitu ambacho kilikuwa kinaongeza pesa kwenye mzunguko, na zililazim mtu kufanya kazi kuzipata kitu kilicho fanya uchumi uwe balanced na hata inflation isiwe tatizoSasa kama serikali haijaongeza mshahara kwa muda mrefu si kunakuwa na ufinyu wa kutumia pesa kwenye mzunguko lakini wakati huohuo serikali ina hela ambayo cannot be readily converted into liquid cash. Na pia mishahara ikiongezeka hata urahisi wa kutumia hela huongezeka pia hivyo vyote vina effect kwenye money supply. Hii yote pia hutegemea na monetary policy ya country husika as for us Tanzania with regards to money supply we base mostly kwenye M1,M2 and M3.

