Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iko wapi marshalling yard ya sgr tanzania kando ya port? bila dude kama hili pale kilindini, sgr ya tanzania itakua ni ya kazi bure tu. mombasa mzigo unaekwa direct kutoka kwa meli hadi train wakati dar port mzigo unatolewa kwa meli unaekwa juu kwa lori ambayo inasafirisha mzigo hadi pugu alafu mzigo uingie sgr. hio ni gharama na kupoteza mda. heri uchukue mzigo wako kwa lori direct kwa port kama zamani tu. Sama boy 255
KENYA RAIL.png
 
Angalia hii video Dakika ya 3:55 . Utaona viaduct anayojengwa Ili kuiunganisha reli yetu na bandari .. Cc Tony254
sasa haka ka viaduct kata pitisha tani ngapi ya mzigo? Na kanaelekea wapi na bandari imejaa. Nionyeshe mahali marshaling yard ya dar SGR port iko.
Ona mfano Mombasa port na mgr infrastructure take iko kando, hii ni SGR pekee.
JamiiForums-264036466.jpg
 
Angalia hii video Dakika ya 3:55 👇 . Utaona viaduct anayojengwa Ili kuiunganisha reli yetu na bandari .. Cc Tony254

Nimeona hio diversion inayokwenda bandarini ila barabara ya reli hapo mbele imezibwa na majumba. Majumba haya yatabomolewa lini? Maana hapo kwa port hakuna nafasi ya reli kupita itabidi majumba kadhaa yabomolewe.
 
Jamaa hawajui kitu kuhusu Tz lakini wanalazimisha kutuzumgumzia 😂😂😂 Wana matatizo si bure
Wanafikiri Tanzania ni kama their fuqd up country, katika vitu Tanzania tunapaswa kujivunia ni kutunza nature

Ni Tanzania tu unakuta wanyama wapo mpaka mitaani na hakuna wa kuwadhuru sababu tumeneemeka, nchi ya njaa kama Kenya hawa hawachukui round

Mtanzania yeyote anayesafiri kupishana na wanyama barabarani ni kitu cha kawaida sana

FJtrF5xX0AIxPtZ.jpeg
 
Iko wapi marshalling yard ya sgr tanzania kando ya port? bila dude kama hili pale kilindini, sgr ya tanzania itakua ni ya kazi bure tu. mombasa mzigo unaekwa direct kutoka kwa meli hadi train wakati dar port mzigo unatolewa kwa meli unaekwa juu kwa lori ambayo inasafirisha mzigo hadi pugu alafu mzigo uingie sgr. hio ni gharama na kupoteza mda. heri uchukue mzigo wako kwa lori direct kwa port kama zamani tu. Sama boy 255
View attachment 2254413
Hakuna space ya kujenga mashalling yard hapo. Nadhani ndio maana wameijenga inland. By the way kwa hio video ya Sama boy 255 nimeona wameanza kujenga diversion yenye itaenda hadi kwa port, lakini juu hakuna space hapo kwa port itabidi wabomoe manyumba nyingi sana.
 
Nimeona hio diversion inayokwenda bandarini ila barabara ya reli hapo mbele imezibwa na majumba. Majumba haya yatabomolewa lini? Maana hapo kwa port hakuna nafasi ya reli kupita itabidi majumba kadhaa yabomolewe.
Miradi yote unayoskia inafanyika DAR ujue kuna nyumba kadhaa zilibomolewa si barabara, masoko, magorofa n.k .. hivyo hivyo kwa SGR yetu kuna nyumba nyingi zilivunjwa na zitaendelea kuvunjwa mpaka pale reli utakapofka bandarini, kuhusu reli itafikaje bandarini mimi sijui kwasababu sio mimi niliyefanya visibility study, but u need to wait and see..
 
Hakuna space ya kujenga mashalling yard hapo. Nadhani ndio maana wameijenga inland. By the way kwa hio video ya Sama boy 255 nimeona wameanza kujenga diversion yenye itaenda hadi kwa port, lakini juu hakuna space hapo kwa port itabidi wabomoe manyumba nyingi sana.
Kusha bomolewa na kusafishwa hivi sasa kazi inaendelea
 
Kenya sio Tanzania.., Turkana has better road infrastructure, airport and electricity connectivity for economic take off, Kenya sio Tanzania.., in the next five years we double the gap..,
Unazungumza kama kweli vile....
Subiri uone mambo hubadilika in the next five years gap might be close to single digit...na hivi hamna kigu tangible cha kutuvimbia on ground kwa sasa
 
Iko wapi marshalling yard ya sgr tanzania kando ya port? bila dude kama hili pale kilindini, sgr ya tanzania itakua ni ya kazi bure tu. mombasa mzigo unaekwa direct kutoka kwa meli hadi train wakati dar port mzigo unatolewa kwa meli unaekwa juu kwa lori ambayo inasafirisha mzigo hadi pugu alafu mzigo uingie sgr. hio ni gharama na kupoteza mda. heri uchukue mzigo wako kwa lori direct kwa port kama zamani tu. Sama boy 255
View attachment 2254413

Hakuna space ya kujenga mashalling yard hapo. Nadhani ndio maana wameijenga inland. By the way kwa hio video ya Sama boy 255 nimeona wameanza kujenga diversion yenye itaenda hadi kwa port, lakini juu hakuna space hapo kwa port itabidi wabomoe manyumba nyingi sana.
Shida ya nyie wakenya mna Tabia ya kujifanya mnaijua TZ lakin niwaambie tu ukweli hamujui chochote kuhusu TZ DAR Port Iko na eneo kubwa tu la kujenga hiyo marshalling .. 👇
Screenshot_20220608-170602.png
Screenshot_20220608-170513.png
na hapa jamaa wanafanya design and build, kwahyo tegemea kuona marshalling Yard DAR PORT
 
Flight number huwa haibadiliki kinachobadilika ni equipment inayotumika on that flight number.
Hyo flight number ndiyo route ya ndege mkuu, kwa mfano TC inaenda mara mbili ka Nairobi, ikienda saa 11 alfajiri inakuwa na flight number ya TC 200, ikirudi Dar saa 3 asb inakuwa TC 201, ikiondoka jioni inakuwa TC 202 ikirudi ucku inakuwa TC 203. Kesho tena miruko inajirudia ila wakiongeza mruko mwengine flight number pia inaongezeka kutoka hizo nilizokutajia.
 
Kenya sio Tanzania.., Turkana has better road infrastructure, airport and electricity connectivity for economic take off,.., in the next five years we double the gap..,

We Jamaa unafurahisha sana hii ni musoma nimepiga picha kwa simu yangu juzi Kati tu wakati nilipokua huko..👇
IMG_20220601_093156_111.jpg
IMG_20220601_093143_550.jpg
IMG_20220601_100641_579.jpg
IMG_20220601_093205_735.jpg
IMG_20220601_100044_368.jpg
IMG_20220602_085729_750.jpg
in the middle of no where barabara kali zipo na umeme upo n.k .. una lipi la kuitisha TZ we mpuuzi wa kikunya.?
 
Attachments

  • IMG_20220601_093133_250.jpg
    IMG_20220601_093133_250.jpg
    1.4 MB · Views: 21
Back
Top Bottom