Sasa Kama umeachiwa miradi mingi na pesa ni kidogo, jukumu lako Kama kiongozi ni kuongeza mapato zaidi na kubana matumizi(ikiwemo kutokuongeza mishahara), ni upuuzi Kama unajua kipato ni kidogo lakini unazidi kuongeza matumizi.
Tony, Magufuli alikua anajua ni maeneo gani angeweza kuongeza mapato nje ya Makusanyo ya TRA, nadhani ulishuhudie katika kipindi chake jinsi tulivyokua tukikamata "Kilograms of gold and Tanzanite" zilizokua zikitoroshwa nje ya nchi na kuzitaifisha, Ina maana tangu kufariki kw Magufuli watu wameacha kutorosha madini, mbona hatusikii tena kukamatwa?
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app