Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Piga hesabu $500mil ya mwaka 1978 unapata kiasi gani kwa ss ndio utapata jibu kwnn tulipoteza nafasi yetu ya u super power wa EA kwa miaka ile mpk pale Magu alipoirudisha status yetu.
20220607_174854.png
 
Piga hesabu $500mil ya mwaka 1978 unapata kiasi gani kwa ss ndio utapata jibu kwnn tulipoteza nafasi yetu ya u super power wa EA kwa miaka ile mpk pale Magu alipoirudisha status yetu.
Kenya ku raise hela kama hiyo kufanya project yoyote hawawezi hata sasa. Imagine mzigo wote huo Tz ilikuwa nao miaka hiyo.
 
Ni uthubutu wa hali juu kuvunja uhusiano na beberu mwingereza kwa maslahi ya waafrika wengine . Late mwl nyerere alikua mzalendo sana
Sio kuvunja tu uhusiano, angalia costs za kuingiza bidhaa mafuta yakiwamo kuelekea nchi zilizokua chini ya ukoloni

Zimbabwe na South Africa zilikua zinatumia bandari ya Tanzania kuingiza materials zilizotumika kwenye harakati za ukombozi sababu bandari zote nyingine zilikua chini ya mabeberu, gharama kubwa ya kusafirisha mali hizo ni Tanzania ililipia
 
Kwahiyo hapo kwa makadirio Tz ilitumia kama $10b kukomboa nchi za Afrika. Shida ya mzee wetu yule hakuwa ana claim anything in return.
 
Back
Top Bottom