Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ethiopia haipo East Africa? Siku hizi ilihamishwa hadi North Africa? Bongolala, even Eritrea is part of East Africa region so I wonder how Ethiopia isn't
Onesha ushahidi Ethiopia ipo EAC nitoke JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna jambo nimetaka kuuliza kwa muda. Hivi viwanja vya CCM vilijengwa na pesa ya wanachama wa CCM au vilijengwa na pesa ya serikali ya Tanzania? Na kama vilijengwa na pesa ya serikali basi kwa nini viitwe viwanja vya CCM?
Nahisi kwasababu enzi vnajengwa nchi ilikua na chama kimoja ccm tuu
 
Wewe ni malay* sana. Umekuwa ukinitafuta sasa leo umenipata. Mbw* wewe. Don't quote me. Mimi ni mtu mzima hutaniambia niseme nini hapa. Mimi sio mtoto wako. Hio lecture yako enda upatie watoto wako lecture. Uko na roho chafu, unakuja hapa kutukanana nao mimi nakuja hapa kujibamba. Next time ukiona posts zangu please ignore them. I am here for my own enjoyment. Siko hapa kukufurahisha. I will continue being friendly with them. Kama hupendi basi kajinyonge. Just because we were born in the same country doesn't mean you own me. You don't pay for my food or my bills. Umekuwa ukinitafuta sana ukidhani nakuogopa kwani wewe ni nani? Nitaendelea kuwa marafiki nao. Kajinyonge basi.
Shida yake vitu vingi humu anachukulia personal cjui ana shida gani ...May be stress au kukosa hela maana ukiwa huna hela kila mtu unamwona mbaya wako
 
Kutojua English kwa nchi inayofundisha kingereza inaonyesha jinsi gani mulivyokua vilaza. Imagine PHD holder tena wa science kama magufuli hajui kuunda sentensi mbili za kiingereza bila kujiuma ulimi. Mimi mtu aliesoma Tanzania hata awe na PHD waga namdharau.
Unamdharau kwasababu tu hajui English, lakini Somo alilolisomea analijua, kweli wakenya Elimu yenu ni majanga[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hili shirika lisha jifia walahi duu... 😂 😂 😂 😂 😂 😂 👇👇👇👇


Screenshot_2.png
 
Huyo jamaa sijui shida yake ni gani. Anachukulia vitu personal sana. Ni kama niko na deni yake. Au pengine ana stress tu zake za maisha sasa anatafuta mtu wa kutolea stress zake. Lakini mimi ni wrong number. Sitakangi utoto. Sio eti nacheka cheka na watu humu mtu afikiri mimi ni wakuchezea. Ameniudhi sana.
Mpumbavu huyo na hana adabu, kwanza I bet ni fukara anayejificha kwenye mitandao ya kijamii akijifanya msomi na broken zake mbili tatu, kwa jinsi alivyo na kiburi angekuwa msomi au mwenye uwezo japo kidogo tungeshajua lkn Mungu fundi aisee watu wa design hii huwa anawanpiga makofi.
 
Hii ya Tanzania imeipiga ile giraffe manor ya Nairobi KO ya, kihistoria!

Kwenye huu mziki hawaamki
Jamaa ni wabishi sana wameweka ofisi mpk Nairobi kwa ajili ya ku-tap potential tourist na market ya huko!!!!. Ndo basi tena!!!Na wanaonekana vision yao ni kubwa sana!!!! Location walioichagua imagine a Million Dollars View ile Mountain Kilimanjaro na safu za vilima vidogo vidogo!, The greenery, Weather,eneo kubwa la uwanda!!!that peace,Muhimu zaidi aina tofauti tofauti za wanyama ambao unaweza interact nao unlike Minor wameishia kwa twiga tu, what a beautiful Moment in life. Unabishaje kwa mfano.
 
Hivi ile project iliyokuwa chini ya Tamisemi ilikuwa inaitwa Tanzania cities Strategic project imekufa?

Wakati Magu anakufa ilikuwa kuna miradi kwenye miji mingi tu ikiwemo stendi za mabasi na masoko Arusha, Kagera nk.
Miradi hii ilikuwa ianze Toka last year ila kimya, kuna anayejua?
Nenda kwny Hotuba ya bajeti ya TAMISEMI 2022/23 utakutana nayo yote hayo na status zake pia kuna huu mradi unaendelea
TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE
AND COMPETITIVENESS (TACTIC) - (P171189).
 
Nenda kwny Hotuba ya bajeti ya TAMISEMI 2022/23 utakutana nayo yote hayo na status zake pia kuna huu mradi unaendelea
TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE
AND COMPETITIVENESS (TACTIC) - (P171189).
Dmdp vipi barabara za uswazi naona kimya kasi imepungua
 
Nenda kwny Hotuba ya bajeti ya TAMISEMI 2022/23 utakutana nayo yote hayo na status zake pia kuna huu mradi unaendelea
TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE
AND COMPETITIVENESS (TACTIC) - (P171189).
Umenikumbusha kwa sasa wanaita TACTIC but ndio ileile swali langu ni kwamba kuna miradi ilikuwa ianze mwaka jana ila mpaka sasa kimya, tatizo nini?
Jafo alikuwa anaiongelea hiyo miradi kipindi yuko huko, kulikuwa na miji kama 40 ilikuwa inaenda kufaidika na ujenzi wa barabara, masoko, stendi madampo ya taka nk.
 
Nyoko nimekuambia leta evidence ya mradi wa 112 km dual carriage way U/C!

Tunahesabu mradi as a whole a single dual carriageway project! Kunyaland hamna mradi wa zaidi ya 84 km dual carriage unaotekelezwa!

Wacha upumbavu! Hata sie tunaweza ku-add dual carriageways za Mtumba (Gov. City) ku-prop up the length of 112 km Dodoma ring road!
Hii Barabara ya Iyumbu inapita mpaka UDOM ina zaidi ya kilometers 30 ni dual carriageway pia na itaunganisha na Ringroad eneo la Ihumwa

 
Back
Top Bottom