Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zile desktops za Control center ya Kunya rail zinadisplay features za Windows xP
It is Windows 7 and it's because they were launched when Windows 7 was the best OS. Currently they're probably running on Windows 10 or 11. Ama unadhani hizo zenu zimetengenezewa OS special? Mnachekesha kweli. 🤣 🤣 🤣
 
It is Windows 7 and it's because they were launched when Windows 7 was the best OS. Currently they're probably running on Windows 10 or 11. Ama unadhani hizo zenu zimetengenezewa OS special? Mnachekesha kweli. 🤣 🤣 🤣
I like the fact that you use 'they' probably Chinese 😅😅

Mkenya anaingia humo kupiga deki na kufuta vumbi tu 😅😅😅😅
 
It is Windows 7 and it's because they were launched when Windows 7 was the best OS. Currently they're probably running on Windows 10 or 11. Ama unadhani hizo zenu zimetengenezewa OS special? Mnachekesha kweli. 🤣 🤣 🤣
So mnatumia window 7 badala ya secured traffic OS? Hivi unajua What it takes to run a traffic in a busy rail network?

FYI Since ours is ETCS level 2, PikeOS n ELinOS will be deployed!

 
Wewe ni malay* sana. Umekuwa ukinitafuta sasa leo umenipata. Mbw* wewe. Don't quote me. Mimi ni mtu mzima hutaniambia niseme nini hapa. Mimi sio mtoto wako. Hio lecture yako enda upatie watoto wako lecture. Uko na roho chafu, unakuja hapa kutukanana nao mimi nakuja hapa kujibamba. Next time ukiona posts zangu please ignore them. I am here for my own enjoyment. Siko hapa kukufurahisha. I will continue being friendly with them. Kama hupendi basi kajinyonge. Just because we were born in the same country doesn't mean you own me. You don't pay for my food or my bills. Umekuwa ukinitafuta sana ukidhani nakuogopa kwani wewe ni nani? Nitaendelea kuwa marafiki nao. Kajinyonge basi.
Huyu ndio tony ninae mjua akuna haja ya longolongo, walio wengi wakunya wanapenda kujifichaficha kuhofia wenzao kuwaona wasaliti, hili ni jukwaa huru
 
Sio kwamba I am the wisest Kenyan hapa. Kuna Wakenya na Watanzania wengi hapa ambao ni werevu kunishinda. Mimi sio mwerevu sana. Mimi ni mtu wa kawaida tu kama wewe. Tatizo ni kwamba anataka kunipimia hewa. Yeye ndiye anataka kuniambia nitasema nini hapa na sitasema nini? Eti mimi nimekuwa pathetic kwa sababu hapendi jinsi ninavyo-interact na Watanzania humu. Approach yake ni ya kimabavu. Approach yake ni ya kutusi watu, kudharau watu, kudhalilisha watu. Mimi sina hio roho mbaya. Mimi huwa nashindwa kubeba chuki moyoni kama yeye anavyobeba chuki moyoni.

Yeye anawachukia Watanzania kiukweli. Hajui hapa tupo battle, yaani tupo hapa kujifurahisha. Mtu unapiga kazi, ukipata dakika tano unaingia JF kidogo kisha unaendelea na kazi yako. Yeye hanilipii chakula wala hanilipii bill ya umeme au maji sasa ataniambiaje cha kusema huku? Eti hapendi jinsi ninavyotangamana na Watanzania, yaani anataka niwe natukana na kudharau Watanzania ili kuonyesha kwamba mimi ni Mkenya?

Mimi nipo hapa kivyangu na wala sipo hapa kufurahisha mtu yeyote. Kama hapendi basi too bad for him kwa sababu hakuna chochote anachoweza kunifanyia. Hata hanijui na anakasirishwa na mtu asiyemjua? Mtu unayekutana naye mtandaoni unamchukia ili iweje?
Kwa hii comment bwana #Tony , kibwengu nirobimzururaji anapaswa kujitagakari ...sema ndio hivyo kichwa iko na mabungu
 
Back
Top Bottom