game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
Oyaa game over kumbe kwenu nyumbani ni Mbeya? Dadeeki.![]()
Unatokea mkoa ambapo watu wanazindulia lift kwa mbwembwe na shamra shamra ya kukata na shoka. Lift ya kwanza kuzinduliwa mkoani Mbeya ulizinduliwa 2014 kwa sherehe kubwa sana. Kuku na mbuzi walichinjwa.
View attachment 2251914View attachment 2251915View attachment 2251916View attachment 2251917
Huyu ni jirani wa game overView attachment 2251919
Mimi kwetu ni Iringa, Mbeya nimesoma huko wakati Niko secondary, na huwa naenda mara kwa mara kwa mishemishe za maisha
Sasa unasema mbeya mbona husemi kisumu your third largest town kupata it’s traffic lights mwaka jana ?



