Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimecot comment yako kuliza swali hakuna mahali nimeweka condition nani ajibu...
Sasa wewe pia unataka nibishane nawe? [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]your ego its your problem young kunyan
 
Nairobi - Kenol is already an existing highway - ama hujui Thika highway? Well, Thika Highway actually terminates in a town called KENOL - 60km from Nairobi CBD. Wandastandanga Mr. Geza?
Sasa kama ina-exist una-count vp nyoko wewe? Na sie tuanze kuhesabu +50 km za mtumba? Leta evidence ya hizo +60 km tuone!

 
Siku Russia wakipambana na USA ndio utaona hii dunia chungu
Wakipigana naomba wapigane wao tuuu usa na russia hakuna kukaribisha chawa wala maswahiba ndio tutajua nan ni nani sio mtu aje na gang yake (Nato) wakat mwenzie yupo alone haitakua fair
 
Nimecot comment yako kuliza swali hakuna mahali nimeweka condition nani ajibu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]your ego its your problem young kunyan
For once you're right. I have a very big ego.😎😎😉
 
Wakipigana naomba wapigane wao tuuu usa na russia hakuna kukaribisha chawa wala maswahiba ndio tutajua nan ni nani sio mtu aje na gang yake (Nato) wakat mwenzie yupo alone haitakua fair
Tutapoteana hapa yani mambo yataharibika sana..iyo ni vita ya 3 ya dunia
 
Washiriki wa U17 Women's World Cup kutoka Africa, tokea mashindano hayo yaanze mwaka 2008.

Jumla ya timu 8 tu za Africa (out of over 50 african teams) zitakuwa zimeshiriki mashindano haya kujumuisha na hawa wa sasa wa mwaka 2022
20220606_222826.jpg
 
Unataka tuhesabu non-existent roads pekee ama?
Nyoko nimekuambia leta evidence ya mradi wa 112 km dual carriage way U/C!

Tunahesabu mradi as a whole a single dual carriageway project! Kunyaland hamna mradi wa zaidi ya 84 km dual carriage unaotekelezwa!

Wacha upumbavu! Hata sie tunaweza ku-add dual carriageways za Mtumba (Gov. City) ku-prop up the length of 112 km Dodoma ring road!
 
Tinahesabu mradi as a whole a single dual carriageway! Kunyaland hamna mradi wa zaidi ya 84 km dual carriage unaotekelezwa! Wacha upumbavu! Hata sie tunaweza ku-add dual carriageways za Mtumba (Gov. City) ku-prop up the distance!
The post I quoted talked about the longest dual carriageway - not the longest project. Punguza hasira.

Anyway, Nairobi - Mau Summit road is 220km long and under construction. Hata ukibadilisha goal posts bado tunakuchapa.

Halafu hapo bongo hakuna existing continuous dual carriageway yenye inaweza fika hata 50km. Wacha ukichaa.
 
mh hii namba 1 inaweza leta utata! ajirembeshe kidogo jamani! hongera zao!
Cameroon walifanya Kila wanaloweza ikishindikana kudai sio msichana huko huko kwao wakashindwa,wakaja Zanzibar wakaanza kelele za umri Hadi wakaenda MRI wakashindwa.Mtoto ndivyo alivyoumbwa na mwenyezi Mungu kuwa na umbo la kiume ume na si wakwanza duniani.
 
The post I quoted talked about the longest dual carriageway - not the longest project. Punguza hasira.

Anyway, Nairobi - Mau Summit road is 220km long and under construction. Hata ukibadilisha goal posts bado tunakuchapa.

Halafu hapo bongo hakuna existing continuous dual carriageway yenye inaweza fika hata 50km. Wacha ukichaa.
Where is the evidence it is U/C n under one project! There is nothing like Nairobi-Mau Summit!

Where is dual carriageway?


BTW the project is cancelled n hence inexistent!
 
Shida yako unadharau watu, yaan vitu vingi humu unachukulia personal sana.... chill mzee baba, au stress mingi
Huyo jamaa sijui shida yake ni gani. Anachukulia vitu personal sana. Ni kama niko na deni yake. Au pengine ana stress tu zake za maisha sasa anatafuta mtu wa kutolea stress zake. Lakini mimi ni wrong number. Sitakangi utoto. Sio eti nacheka cheka na watu humu mtu afikiri mimi ni wakuchezea. Ameniudhi sana.
 
Kuna mjinga mmoja alikubaliana na suala la kusafirisha wanyama nje ya nchi ili tu ionekane Magufuli alikosea kukataza wanyama kusafirishwa, sasa leo wamefungia tena cjui pia atashangilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huwa namuonea huruma kweli anavyopata tabu mana serikali anayoishabikia haina msimamo leo inasema hivi kesho inakanusha.
 
Back
Top Bottom