Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unaquote post yenye matusi ukisema unakubaliana na aliyeiandika eti tuwache matusi? Wewe tangu hawa jamaa wakuchoche kidogo eti una akilii kisa unatolerate upuzi wao umeanza kuwa kilaza kilaza tu. Yani you're yearning for their approval and it's becoming pathetic.

Cc Coco reborn mwathadan
Wewe Mkunya mshika kibendera una tatizo gani? Upuuzi SSC unaleta humu?
 
Heheheheeee yn mtu kisa mnatoka nchi moja ndio unataka kumpangia cha kuongea na pia kumchagulia watu wa kudebate nao nyie Wakenya mbona mnaleta mambo ya ajabu humu ndani, yn Wakenya wote wanampinga mwenzao kisa anasema ukweli, hapa hakuna kupangiana kwenye nyeusi inasemwa na white inasemwa pia
 
Hawa warembo wametupa heshima kubwa sana na wanaenda kuitangaza nchi yetu kimataifa, nasubiri Stars nao waige dada zao walichofanya pia na Serengeti waige huu mfano.
tapatalk_618123377_680x510.jpg
tapatalk_-1145378557_680x442.jpg
tapatalk_802117036_680x680.jpg
 
Heheheheeee yn mtu kisa mnatoka nchi moja ndio unataka kumpangia cha kuongea na pia kumchagulia watu wa kudebate nao nyie Wakenya mbona mnaleta mambo ya ajabu humu ndani, yn Wakenya wote wanampinga mwenzao kisa anasema ukweli, hapa hakuna kupangiana kwenye nyeusi inasemwa na white inasemwa pia
Hawa jamaa ni kama hawaoni divergent views kati yangu na Simon !
 
Hawa jamaa ni kama hawaoni divergent views kati yangu na Simon !
Si ndiyo hapo, mbona humu Watz tunapeana vitasa wenyewe kwa wenyewe lkn mwisho wa siku bendera ya nchi yetu hatuidondoshi labda Watz wachache vichaa wanaomezwa na siasa kupita maelezo ndiyo huwa wanafikia hatua mpk kuombea mabaya nchi kisa tu hakubaliani na aliyeko madarakani, huo ni ujinga.
 
Sasa unaquote post yenye matusi ukisema unakubaliana na aliyeiandika eti tuwache matusi? Wewe tangu hawa jamaa wakuchoche kidogo eti una akilii kisa unatolerate upuzi wao umeanza kuwa kilaza kilaza tu. Yani you're yearning for their approval and it's becoming pathetic.

Cc Coco reborn mwathadan
Kuna kipindi flani katika huu Uzi jamaa yetu Tony254 alisema Tanzania ndio yenye brt kubwa Africa nzima, nilipompinga kwa facts kwamba kuna nchi zenye brt kwa Miji zaidi ya minne kama south Africa, jamaa alinirushia matusi unprovoked, hapo ndo nikajua mwanangu anatafuta sympathy kutoka kwa watanzania. Isitoshe mkuu akasema atamwaga uchafu wa Kenya hapa ndani, nilicheka sana.
 
Magufuli aliupendelea sana huu mkoa kwenye barabara za lami, nafikiri sababu ni kati ya mikoa mikubwa Tanzania na umepakana na mikoa mingi, barabara mpya Tabora ni zaidi ya kilometers 1500
Hivi ile project iliyokuwa chini ya Tamisemi ilikuwa inaitwa Tanzania cities Strategic project imekufa?

Wakati Magu anakufa ilikuwa kuna miradi kwenye miji mingi tu ikiwemo stendi za mabasi na masoko Arusha, Kagera nk.
Miradi hii ilikuwa ianze Toka last year ila kimya, kuna anayejua?
 
Umeona vibanda kando ya barabara kwenye hiyo video Kama Oysterbay?
Umeona congestion kwenye hiyo video kama Oysterbay?
Umeona viapartments kwenye hiyo vide kama ilivyo Oysterbay?
Umeona bajaji kwenye hiyo video kama ilivyo Oysterbay?

Watch this Oysterbay video uniambie Kama hizi takataka zipo Runda

Hahahaha hata hawana aibu walai. 🤣 🤣 🤣
 
Kuna kipindi flani katika huu Uzi jamaa yetu Tony254 alisema Tanzania ndio yenye brt kubwa Africa nzima, nilipompinga kwa facts kwamba kuna nchi zenye brt kwa Miji zaidi ya minne kama south Africa, jamaa alinirushia matusi unprovoked, hapo ndo nikajua mwanangu anatafuta sympathy kutoka kwa watanzania. Isitoshe mkuu akasema atamwaga uchafu wa Kenya hapa ndani, nilicheka sana.
Tatizo lenu nyinyi hamna akili mnakubali mtu mmoja awapangie cha kuongea kisa mnamuogopa, inakuwaje mtu unajiita msomi alafu mjinga mmoja ana control akili yako? Yani mtu huwezi kukutana naye na unamuogopa, unashindwa kukosoa upuuzi unaofanyika nchini kwako kisa kuna mtu unamuogopa. Sasa upumbavu huo ndiyo hautaki bwana Tony, keshawahi kukwaruzana na mkunya mwingine ukiacha huyo mpumbavu na mkwaruzano ulikuwa ni kwasababu hiyo hiyo ya kumtaka bwana Tony aongee vitu ambavyo Wakenya wanataka kusikia.

Usiwe mjinga na usikubali mpumbavu mmoja a control akili yako wkt tabu zako unapambana nazo mwenyewe. Kupitia hizi forums ndipo serikali inapata kujua wananchi wanataka nn, sasa unaficha ficha ukweli ili uonekane upo vizuri kwa faida ya nani? Punguza upumbavu be independent.
 
Wewe ni malay* sana. Umekuwa ukinitafuta sasa leo umenipata. Mbw* wewe. Don't quote me. Mimi ni mtu mzima hutaniambia niseme nini hapa. Mimi sio mtoto wako. Hio lecture yako enda upatie watoto wako lecture. Uko na roho chafu, unakuja hapa kutukanana nao mimi nakuja hapa kujibamba. Next time ukiona posts zangu please ignore them. I am here for my own enjoyment. Siko hapa kukufurahisha. I will continue being friendly with them. Kama hupendi basi kajinyonge. Just because we were born in the same country doesn't mean you own me. You don't pay for my food or my bills. Umekuwa ukinitafuta sana ukidhani nakuogopa kwani wewe ni nani? Nitaendelea kuwa marafiki nao. Kajinyonge basi.

Unasema tuache matusi Kisha unatoa matusi?🤣🤣

Nimekuuliza swali moja tu, mbona uquote post ya matusi ukisema eti unakubaliana nayo tuache matusi? Hehehe. Mimi nikutafute kwa lipi? Najua umeona ukweli kwa yale niliyosema ndio maana unamwaga mitusi hivi. Mimi Sina ubaya nawewe Ila hii hypocrisy ya watu wanaotupa mitusi na kutusi nchi yangu kuanza kutulecture eti tuache matusi ndio upuzi ambao siwezi tolerate.
 
Nimeuliza makubaliano (partnership)! Sijasema wakarabati kiholela kama inavyoendelea! We engineer vp? Huwezi ukaacha CCM Kirumba ikaendelea kubaki vile na pale ni prime location! Mbona SA wali-partner na private owners kipindi cha World cup waka-modernize baadhi ya viwanja?
Kirumba hakuna timu ya ligi kuu unakarabatiwa iweje acheni usukumagang😝😝
 
Back
Top Bottom