Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,907
- 103,771
Sasa viwanja vya Mbeya na Arusha unaweza kufananisha na CCM Kirumba? Engineer acha uzushi wa Kisukumagang bana! Si kila kitu Mwanza wapewe kuweni na timu ligi kuu kwanza!Huyu jamaa bana, hoja ni ya kawaida tu.. ila unaingiza eti sukumagang.. hio partnership, chadema watakubali? Si watasema serikal inatoa hela CCM kwa ajili ya uchaguz.. sio kila kitu sukumagang 😂.. so kiufup mama hataki hizo lawama.. mbona dodoma ina jamhur (ccm) na inajengwa mwingine? arusha mbeya zote zina stadia za ccm .. kwann asijenge huko majiji mengine kwa hio partnership..
Ndo kama majuzi arena Dar inapelekwa Mambwepande na kuacha Taifa penye nafasi ya kutosha ukiondoa old dilapilated indoor na pia kuna ready supporting infrastructure BRT and shorter distance n easy access to JKIA, TAZARA, SGR n MGR (Pugu n central stations), Magufuli Bus Terminal n Zanzibar ferries!
Ndo maana miradi mingi ya serikali haifanikiwi maana maamuzi huwa yana siasa. Angekuwa investor ni private na kachukua mkopo hawezi acha Taifa hata siku moja!

