K2 kilaini icho unagusa sport mode tuUhuru aje aangalie barabara sasa, sio zake za vumbi
Watu tunajenga barabara za kimataifa na tumetulia tu!
kuna scheme ipo hapo tabora igunga inatoa mpunga unanukia balaa na mzuri umenyooka safi
Saivi taratibu wanaanza kujua, hii mitandao imesaidia sana!Yaan karibia kila kitu wanategemea TANZANIA halafu wanajifana wajuaji wa kila kitu
Screenshot sio? 😃 You can do better kijana.Haya tunaanza sasa, kwanza nashukuru cku hz una adabu mana kuna vitu nimevitaja ukaviacha kama vilivyo which means umekubali kimya kimya.
1. The busiest airport in East and Central Africa, JNIA na picha za u busy wake zimewekwa humu recently, ukitaka nitakuoneshaView attachment 2252405
Umeona sasa mahali ujinga na ushabiki za kijinga zimekufikisha? Sgr yenu ilifika Mwanza lini? Bongolala ni bongolala tu2. The longest SGR railway line in Africa, ukibisha taja SGR ndefu kuliko hii popote pale ilipo Africa kama huna kalia chupa na ukae kwa kutuliaView attachment 2252409
ichoboy01 mtu wako Lavrov amekatiza safari yake na ndege yake kulazimika kurudi Russia kwa sababu EU imefunga airspace yake kwa ndege zote za Russia. Alikuwa anaenda Serbia ambayo ni nchi rafiki ya Russia. Hii ni madharau kweli.
Saivi taratibu wanaanza kujua, hii mitandao imesaidia sana!
Ethiopia haipo East Africa? Siku hizi ilihamishwa hadi North Africa? Bongolala, even Eritrea is part of East Africa region so I wonder how Ethiopia isn't3. The biggest hydro power dam in East Africa, JNHPP (Ethiopia labda umeiweka wewe EAC) bonge la dudeView attachment 2252414