Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikifika usiku tu mitaa hii ya Libya, Morogoro road na Lumumba street. Idadi ya kuku wanaoliwa mitaa hii inazidi ile asilimia ya wa kulungwa wa Kaskazini kwa mwezi mzima

Chicken sekela, Lemon chicken ndio maeneo yake haya mjini, Bado hujaenda uswahili hadi ngwala, Aka speed, na vichwa aka Cpu na utumbo vinalika.

IMG_7729.jpg
 
Back
Top Bottom