Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,891
- 103,757
Vitasa huko tweeter wenyew kwa wenyew
sasa kama Nairobi haina maji, hizo connections zimefanyika hewani?
Vitasa huko tweeter wenyew kwa wenyew
Goli zenu zote zilikua offside, wewe haukuona? ila VAR (World Bank) wameweka mambo sawa kwa wasio amini KNBS![]()



,hii ndio inaitwa ingawa mwatufunga lakini chenga twawala 

,mmeanza kutoa visingizio uwanjani.Ni Sababu hiyo hiyo ya Tazara kutumia Cape gauge ila bado sijasikia wakiongelea.Nadhani mpaka 2030, mama atakuwa ameanza mradi wa reli ya Mtwara port-Mbamba Bay ila huwa najiuliza kama hii reli itajengwa itakuwa jambo zuri kama itakuwa Cape Gauge Railway maana ndo njia bora kuhudumia Zambia, Congo na Malawi!
TAZARA imekosa maintenance inayohitajika inahitaji recapitalization ya nguvu over a billion US$! Tena ASAP ila kama reli ya Mtwara Mbamba Bay inajengwa lazma itaunganishwa na TAZARA na branch nyingine itaenda kuunganisha na Malawi na labda nyingine iende Lake Tanganyika Kasanga port na Karema port wa ajili ya DRC! Hawa wote wana Cape Gauge Railway na hawana mpango wa kujenga SGR! Hapa itabidi maamuzi magumu yafanywe!Ni Sababu hiyo hiyo ya Tazara kutumia Cape gauge ila bado sijasikia wakiongelea.
Mambo ya hand shaking![]()
Wacha kudanganya watu, mahakama iliamuru Miguna arudishiwe passport yake ya Kenya na aruhusiwe kurejea nchini, lakini serikali yenu imekataa kutekeleza hukumu ya mahakama na kulazimisha kwamba arudi kwa kutumia passport ya Canada na sio raia wa Kenya, huo ndio uhuru gani Kama hata amri ya mahakama haifuatwi?Aliachiliwa hata alihojiwa tena, Kenya huwezi fungwa without trial. Huyo jamaa yuko popular na alirudi hustle yake ya activism hapo CBD. Miguna ni kiburi tu akonayo, akitaka kurudi hata sahii anaweza, bora tu afwate maagizo kama wengine walivyofwata. Hata yeye picha zake ziko na hakuna mtu anasumbuliwa ju ya hio.
![]()
![]()
Hahahaha, nor one has whatsoever dismissed UN rankings, but the same UN bodies say Kenyans are living very hard lives, let me summarize this as follows; Kenya is ranked highly in HDI and GDP, while Tanzania is ranked highly on food availability, water availability, decent houses, better heath service, peace and tranquility, jobs and economic equality.HDI and GDP indicators are not theoretical, they are practical. Which Kenyans are living in bad and humiliating lives? Are you referring to the people in the north facing starvation? Well, UN bodies know about them and everytime they compile their data, these people are part of consideration. At the end of the day, and after doing everything, their data still shows we are way better than you.
You can't force your thinking which is not based on any scientific data or research to be the gospel truth. It just shows your level of desperation and, to some extent, ignorance.
,You don't have the monopoly of knowledge. The UN bodies you are busy dismissing their data know better than what you think you know. It's high time you accepted the truth and moved on coz no amount of noise will ever change those UN figures. This energy you are using to dispute UN figures invest it in meaningful work like how to eradicate extreme poverty in your country, which is the highest in the region. Adios!
Can you give me Tanzania's ranking on those items you've listed?Hahahaha, nor one has whatsoever dismissed UN rankings, but the same UN bodies say Kenyans are living very hard lives, let me summarize this as follows; Kenya is ranked highly in HDI and GDP, while Tanzania is ranked highly on food availability, water availability, decent houses, better heath service, peace and tranquility, jobs and economic equality.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama nyumbani ni Nakuru, wewe utakua ni Mkalee, au sio?Kuna ingredient moja nimesahau inaitwa fomalin. Ile dawa ya kukausha maiti kwenye mortuary. Hii inawekwa ili ukipiga chang'aa unahisi akili ikicheza densi kichwani. Methanol nayo huwa inafanya walevi wawe vipofu. Najua ingredients kwa sababu Nakuru ndio nyumbani na huko nimeona walevi wengi wa chang'aa. By the way unapafahamu Nakuru? Unafahamu maeneo gani ya Nakuru?




Mambo ya hand shaking![]()