Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya.png
 
Ongea kisomi, sema kuna gravel, moram and bitumen, Uhuru kachanganya zote kwenye hiyo 10k zake and majority ni gravel, simple 😎
Barabara za aina zote hapa Kenya ni zaidi ya 150,000 kms. Sasa kalilie chooni.
 
Kifanye kipengele cha 6) Peace, security and tranquillity
Nikiguzia tu swala la maji kwa mfano, 59% of Kenyans have access to safe drinking water according to UNICEF.
But as usual, you and your gang will spend the next two days disputing this data. Bitter souls!
 
Iko nchi hii dunia yenye watu wanaopenda kupigana kende kushinda Tanzania? Hio ndio national sport yenu na ndio maana mnafeli kwenye michezo zote isipokuwa hilo. Halafu eti mnataka kuhost Afcon na jinsi taifa stars huwa mbovu kwenye mpira.
Tunajiandaa kuhost afcon 2027,Hapa tunawekeza kwenye miundombinu na kuandaa vipaji muda tunao...
Kwann Green city in the sun isiandae world Cup basi mtuzidi? Mnapenda sifa sana Wekeni mipango kama uwezo mnao...

Btw kuhusu kuzaliana kwann upate tabu wakati vyakula vyote tunawauzia nyie malazy?mahindi,mchele,maharage,vitunguu,nyanya, kama haitoshi tunawauzia na nishati ya Gas mpike ...wacha tuzaliane maana tunalima kwenye ardhi zenye rotuba
 
Akili bila mali au kazi ni sawa na umebeba mavi kichwani, zinakusaidia nn sasa kama huna kitu? Una akili alafu hujasoma so hizo akili zimekusaidia nn au uli prove wapi kwamba una akili? Au nyanyaako alikuambia una akili basi na wewe ukaamini
Narudia tena... pongezi kwa Babu wa Loliondo kwa kuwapa uwezo wa kujua kindani watu usiowajua wala hutowahi kukutana nao maishani mwako. He did a great job 😂
 
Iko nchi hii dunia yenye watu wanaopenda kupigana kende kushinda Tanzania? Hio ndio national sport yenu na ndio maana mnafeli kwenye michezo zote isipokuwa hilo. Halafu eti mnataka kuhost Afcon na jinsi taifa stars huwa mbovu kwenye mpira.
Sasa nyie mnaopigana kende mpaka hadharani kwenye recreational parks inamaanisha vyumba vyote vinatumika
 
Hawa wapika chang'aa huwa wanatia chupi za wanawake, vitambaa vya hedhi na methanol ndani ya mitungi ya chang'aa ili kukoleza mchuzi, ili mchuzi wa chang'aa uwe rojo rojo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tony kumbe unajua full ingredients 🤣🤣🤣
 
Nikiguzia tu swala la maji kwa mfano, 59% of Kenyans have access to safe drinking water according to UNICEF.
But as usual, you and your gang will spend the next two days disputing this data. Bitter souls!
Statistics ambazo hata wewe mwenyewe kwa maneno yako hapo unaonekana huzikubali
 
Hawa watu hata wakipewa fursa ya kuhost Afcon bado watabanduliwa tu kwenye group stages. Wanapoteza pesa bure kujenga stadiums ilhali taifa stars ni gofu la timu ambalo haliwezi kushinda hata team ya viwete.
Timu yetu ya viwete inacheza world cup ya kwenu iko wapi?
 
Eti mtu anapinga ripoti za UN, WB, IMF alafu anataka tukubaliane na mawazo yake potovu. The funny part is that the same organisations wakisema kitu chochote kizuri kuhusu nchi yao they are so quick to praise such reports! Kwa kweli hawa ni vilaza wala hujadanganya
Mbona WB wakisema Kenya poorer than Zimbabwe huwa mnapinga then au wakisema Tanzania real estate is bigger than Kenyan real estate pia mnapinga ili hali ripoti hizo zote ni za vyombo mnavyoviamini?
 
Back
Top Bottom