Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Hapo hapo sasaOyee legalize it.
Hapo hapo sasaOyee legalize it.
Kumbe uhuru anajumuisha barabara za vumbi kwenye izo 10k kilometres alizojenga 😅😅Cost of building a kilometre road of bitumen standard in Kenya is USD 600,000 equivalent to KSH 70,000,000.
Ukiangalia barabara zilizojengwa Kenya in 2017/2018 na 2018/2019 kilometers 1200 na 2000 respectively cost yake in fall kwenye gravel standard. Hizo zingine hapo juu ya km 725 na 463 km hizo ni bitumen standard.
Piga hesabu rahisi tuu
USD 600,000 × 116 exchange rate × 725kn = 50bn
600,000 × 116 × 463 = 32bn
The difference in actual values to what was published by authorities in Kenya is due to fluctuating exchange rate.
Swali la kujiuliza hapa is why a 2000km road cheaper than 725kn road ? Jibu lake ni rahisi tuu hizo km 2000 na hizo nyingine za 1200 ni gravel standard roads.
Nani anasema kwamba lazima iwe exact number? Wewe wacha zako.Bado hujafanikiwa kunionesha exact number kama hii 😅😅😅
Take your time, don't rush 🤣🤣
View attachment 2248506
A snapshot of an spreadsheet is your source? 🚮 🚮Okay, mim silii kwamba data zenu ni fake..na sitegemei excuses nyingine sasa kutoka kwenu 😂😙
hapa mnakubali au mnabisha .. hio data ya mwisho ni report ya 2019 kama yenu
View attachment 2247644
Eti 10,000 km za paved roads 😎.. kumbe hadi za changarawe zimo humohumoCost of building a kilometre road of bitumen standard in Kenya is USD 600,000 equivalent to KSH 70,000,000.
Ukiangalia barabara zilizojengwa Kenya in 2017/2018 na 2018/2019 kilometers 1200 na 2000 respectively cost yake in fall kwenye gravel standard. Hizo zingine hapo juu ya km 725 na 463 km hizo ni bitumen standard.
Piga hesabu rahisi tuu
USD 600,000 × 116 exchange rate × 725kn = 50bn
600,000 × 116 × 463 = 32bn
The difference in actual values to what was published by authorities in Kenya is due to fluctuating exchange rate.
Swali la kujiuliza hapa is why a 2000km road cheaper than 725kn road ? Jibu lake ni rahisi tuu hizo km 2000 na hizo nyingine za 1200 ni gravel standard roads.
Still, no source. Just spreadsheets.
Data ya 2020 hii hapa by Kenya national roads bureau.Eti 10,000 km za paved roads.. kumbe hadi za changarawe zimo humohumo
Kidogo niulize hii wapi 🙂
Mbona umeficha mwaka?Focus on danganyika bro View attachment 2248509
Port ya kibabe sana hii Zambia Malawi na Congo waanze kupitisha mizigo yao mingi huko sasa.Mtwara port: coal consignment to Amsterdam
MY TAKE
The things u will never see at white elephant Lamu port!
CC: Tony254
Nadhani mpaka 2030, mama atakuwa ameanza mradi wa reli ya Mtwara port-Mbamba Bay ila huwa najiuliza kama hii reli itajengwa itakuwa jambo zuri kama itakuwa Cape Gauge Railway maana ndo njia bora kuhudumia Zambia, Congo na Malawi effectively na efficiently!Port ya kibabe sana hii Zambia Malawi na Congo waanze kupitisha mizigo yao mingi huko sasa.