Sasa mbona wale wale mliokua mkiwaita "CCM die hard" Leo wanaipinga CCM?, Sisi hatuangalii chama au kabila, mtu yeyote mwenye akili tunamuunga mkono, awe ndani au nje ya CCM, mtu yeyote Kama Hana uwezo tutampinga, awe ndani au nje ya CCM.
Kenya hamna uwezo huo wa kufikiria na kuchagua, ninyi mnakazimika kuunga mkono mtu kutoka kabila lako, au aliyependekezwa na kabila lako.
Hivi Miguna Miguna Yuko wapi hivi Sasa?, Chris Msando, Jacob Juma, Robert Aoko, Pio - Gama Pinto, Tom Mboya, na maelfu ya watu wanaozidi kuuliwa hapo Kenya na serikali yenu dhalimu ya kidikteta unataka kulinganisha na Tanzania tuliowazidi katika "democracy ranks"
Hivi nchi Kama South Africa, Sychelles, Angola, Namibia, Mauritius na Mozambique ambazo bado vyama vya ukombozi vipo madarakani utaziita hazina Demokrasia. Wacha kulinganisha nchi Kama South Africa ambayo inaongoza Afrika katika nchi zenye Demokrasia na upumbavu wenu wa ukabila eti kwa kigezo cha chama kimoja, Kenya hakuna vyama vya siasa ni mikusanyiko ya makabila kugombea vyeo vya kisiasa.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app