The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Hali inazidi kuwa mbaya huko Kunyaland 😁😁.
Niliwaambia hakuna kitu kushusha interest rates zitafanya kushusha inflation inayosababishwa na shortage ya bidhaa ikiwemo food..
Biden Mwenyewe kanyoosha mikono na kuwaambia Americans kwamba hana cha kufanya kushusha bei ya gas na chakula afu nyie Kunyaland ndio mnajikosha kwa upumbavu 👇