Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,850
- 103,705
Wacha ujinga wewe, dunia nzima hamna mradi unasainiwa, unaanza kujengwa na kukamilika na kufanyiwa ufunguzi bila ya official ceremony! Labda miradi ya kimagumashi huko Kunyaland!Barabara zinajengwa bila mbwembwe ju ni shugli ya kawaida tu. Nyinyi ndio munaitaji hafla ju bado nyie ni washamba tu. 🤣 🤣 🤣



