Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe, unajua lami ilio tandazwa North Eastern wewe? hadi Ethiopian border, kwanza ndio ilipatia Uhuru votes in 2017 kutoka hizo eneo, hawakukua wameona lami tokea independence., kalilie kwa choo, tumewaacha mbali mlidhania sisi ni wenzenu , mko down nanii 😂 😂 😂 😂 😂
Shirikiana na wenzio vizuri, endelea pale walipoachia sasa 😂😂😂😂
 
There you go again with your old data... Hadi Sasa nakuinea huruma you so desperate to prove something that's not there lemmie update you with the new north estern roads that were completed last year, this the new look of the roads
images-2022-06-03t091554-461-jpeg.2248834
View attachment 2248836so please don't run around bringing old data to show how desperate you are to prove useless things... North estern roads were paved that's why there is too many kms Hadi zinawashtua mnababaika Kila Mahali kama kondoo zimepoteza mfugaji
Piga hawa vilaza na facts kabisa., unawaumiza sana, usiwahurumie, wazoee ukweli 😂 😂 😂 😂 😂
 
Nataka barabara ndefu kuanzia angalau kilometers 100, Usiniletee vichochoro
Bora yoote ni paved iwe vichochoro ama highway, tunaongelea paved 23,000km, kajinyonge kama inakuuma😂😂😂😂😂
 
Bora yoote ni paved iwe vichochoro ama highway, tunaomgelea paved 23,000km, kajinyonge kama inakuuma😂😂😂😂😂
Na hamna barabara yoyote Kenya refu kuzidi hizi highways na ulisema highways ndio 70% made paved network 😂😂😂

Hazifiki 3500 km 😅😅😅

2022-6-3_10-28-53.PNG
 
Kwa Jinsi wanavyoongea watu wa Huu mji nilitegemea Kuendane na maneno yao.

Kwenye Video Properly marked roads ni mtihani , Full of Chaos na hii ni Jumapili je siku za kazi inakuaje. Pia inaonekana Mikokoteni inalipa maana ipo kila kona, Jiji halina Bus la maana hata moja na malori yaliyogeuzwa kubebea abiria yapo kila kona . Wana kamera barabarani ambazo zinasaidia mengi pamoja na kuweka order ila sidhani kama zinatatua mambo hayo. ( Traffic na Police wangekusanya rundo la pato kutokana na kuwaadabisha wanao sababisha kutokua na order mfano maeneo ya pedestrian na kusimamisha magari ovyo kila eneo hasa ya abiria. Moi avenue imesifiwa na mwenye video kwamba ni properly marked road lakini kwa Taifa la uchumj mzito hivyo haina maajabu yoyote.

Pia swala la ukusanyaji taka ni majanga, kuna taka kila eneo.

Ule ugonjwa wa Dar wa Machinga pembezoni mwa Barabara naona tumewaachia wao.

Naona huu mji hauheshimu hata kidogo Pedestrian, wanavuka ovyo hakuna maeneo yao muhimu ya kuvukia na wengine wanatembea juu ya Fly over .

View attachment 2248867
View attachment 2248868
View attachment 2248869
View attachment 2248870
View attachment 2248871
View attachment 2248872
View attachment 2248873


Machinga Kambi popote .

View attachment 2248874
View attachment 2248875


Watu wanatembea juu ya Fly over .

View attachment 2248876
View attachment 2248877
View attachment 2248878


Typical Third world city type with African broken streets.

View attachment 2248883
View attachment 2248884
View attachment 2248885
View attachment 2248886
View attachment 2248887
Kama hiyo ni third world Dar itakua 6 world 😜 🤣 🤣 🤣🤣🤣., ama hautaki hii niweke google earth images, realtime 2022😜😆😆., minyani roundi hii haina amani, miti yoote lazima iteleze..,
1654245093969.png
 
I can bet 70% of these roads never built up by uhuru, lakini atakuambia kajenga 11k kilometers, hivi Kenya kuna longest roads nyingine tofauti na hizi?

Hata 3500 hazifiki 😂😂😂

View attachment 2248947
Yaani hizi barabara ni mwaka gani waliweka? ya Kisumu inaanzia Isbania border na inaishia border na south sudan sio kitale kilaza, kumbe hauna uwelewa, uko hovyo😆😆😜 ya Malindi to Bagamoyo haijajengwa ama inaendelea.., iko wapi Nairobi to Busia? Mombasa to Lamu? Mombasa to Meru to Garisa? hauwezi lolote wewe., tupe facts za Tanzania tucheke., linchi likubwa fukara🤣🤣😜😜😆😆
 
So ni uongo Kenya bado kuna njaa?
Ni uongo Kenya bado kuna slums?
Ni uongo Kenya bado kuna insecurity?
Ni uongo Kenya bado kuna ukabila?
Ni uongo Kenya kuna shida ya maji?
Ni uongo Kenya kuna shida ya umeme?
Ni uongo Kenya kuna gape kubwa la maskini na tajiri?
Ni uongo Kenya inasumbuliwa na magonjwa kuliko nchi yoyote EA?
Ni uongo Kenya kuna rushwa kuliko nchi yoyote EA?
Ni uongo uchumi wa Kenya unamilikiwa na wageni wachache?
Ni uongo Kenyatta family na wanasiasa wachache wanamiliki karibu 3/4 ya ardhi yenye rutuba Kenya?


Fikiri alafu tafakari, usiwe mjinga.
Si ni ukweli Dar sio slum 90%.., na Tanzania sio fukara EAC yote? ama aje soja boy?
 
Mambo ya Royal tour,mchezaji wa Madrid ndani ya Serengeti 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220602-165215.png
    Screenshot_20220602-165215.png
    133.4 KB · Views: 10
Kwa hivyo short roads hazipaswi kuwekwa lami ama?
Yaani hizi barabara ni mwaka gani waliweka? ya Kisumu inaanzia Isbania border na inaishia border na south sudan sio kitale kilaza, kumbe hauna uwelewa, uko hovyo😆😆😜 ya Malindi to Bagamoyo haijajengwa ama inaendelea.., iko wapi Nairobi to Busia? Mombasa to Lamu? Mombasa to Meru to Garisa? hauwezi lolote wewe., tupe facts za Tanzania tucheke., linchi likubwa fukara🤣🤣😜😜😆😆
Sasa kinawashinda nini kuleta hizo barabara hapa, yaani hata hafla za mikataba ya mkandarasi na serikali yenu hawakupiga pictures? 😂😂😂
 
Sasa kinawashinda nini kuleta hizo barabara hapa, yaani hata hafla za mikataba ya mkandarasi na serikali yenu hawakupiga pictures? 😂😂😂
Unafikiria Kenya ni Tanzania kila kitu ni hafla? 😆 😆 😆 😆 ata sikumbuki outer ring ikiwa na hafla ilipojengwa.., Red hill haikua na hafla,., yaani ujenzi mingi ya barabara Kenya haina hafla, tulizoea bana, kila kitu sio mbwembwe ama sherehe shenzi type, yaani umelemewa unatafuta vijisababu uchwara, nyambaff, jipe shughli ulcers itakumaliza mzee, usife kwa pressure bure🤣😆😆😆
 
23,000KM of paved road network in Kenya vs 11,000km in Bongolala., inaumaaa!!! 😆 😆 😆 😜, poleni watani sio kwa kupenda kwetu, ni Kenya ilivyo.
 
Sasa kinawashinda nini kuleta hizo barabara hapa, yaani hata hafla za mikataba ya mkandarasi na serikali yenu hawakupiga pictures? 😂😂😂
Barabara zinajengwa bila mbwembwe ju ni shugli ya kawaida tu. Nyinyi ndio munaitaji hafla ju bado nyie ni washamba tu. 🤣 🤣 🤣
 
Wivu itawauwa hehe but that's what he said himself (uhuru) he said in his first term which ended 2017 he built 3km the rest his second term what's hard there to understand ama Ni wivu unawauwa... Do you think he can lie like that on national television bearing the fact that it's close to election and if he lies the opponent's are there to discredit ??? Where we have done well sometimes be gentle men and say good job si kupinga Kila kitu kamamachizi with roads we double you and it's a fact just say hapo tumekubali iishe kama wangwana utoto was kupinga Hadi data iko Ni ujinga
Sasa you guys don't trust World Bank tena? This is a reputable organization they dont publish without verification.
 
Mkuu chongchung hongera kwa kazi iliyotukuka ya kuwabana hawa wahuni.. ebu wape mfano..post barabara zote za bongo zilizozinduliwa kuanzia sasa kurudi nyuma hadi 2015.. post na distance.. kila unapopata nyingine, jiqoute afu jumlisha hizo distance..mwingine atakaekuquote asisahau kujumlisha distance
I challenge kenyans to do the same
 
Hii Ni utoto mko nayo kupinga facts Ni ujinga inaonyesha we debating Na watu si wangwana. A president can't lie on national television Kwanza days to election that will be used to discredit his choice raila.. with road nayo Ni mingi Sana Hadi wasasa zinaendelea kujengwa everywhere in the counties
Eti a president can't lie tuoneshe sasa laptops za shule nitoke hapa JF sasa hivi.
 
Back
Top Bottom