Wewe mtu wa routine diagnostics unajua nini zaidi ya kufuata SOPs na GCLP tuu.Mambo ya masomo kaa nayo kando juu hakuna kitu unajua huko.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wewe mtu wa routine diagnostics unajua nini zaidi ya kufuata SOPs na GCLP tuu.Mambo ya masomo kaa nayo kando juu hakuna kitu unajua huko.
na hawa walipotea wapi?? au walikufa wote 🤣🤣🤣🤣👇👇👇
Wewe unayo hio hela?Jackpot ya UJINGA!!!
Ksh65m!!!!
Huyo dogo nimecheck show yake aliyofanya ethiopia ni kufuru aisee,acha tu kunyaland wawe na wivu na vipaji vyetuKweli ni bonge la ubunifu, dogo na managers wake wako na ubunifu mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ww ndio unae sema? [emoji848][emoji848]
Kha! [emoji849][emoji849][emoji849] tangia huko juu nilikuwa sijakuelewa mana nilidhani ni jengo lingine la Britam limekaa tenge likitaka kudondoka, kumbe ndio hilo hilo ambalo huletwa kila siku likiwa na make up!!!Britam tower on ground [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2229270
please please i beg u 🙏🏽 The best 007, hii story za kuchongoana tuache.. sisi wote watu wazima. tujadili tu mambo ya kenya vs tz na miradi. na sio mavazi na maumbile.. tafadhali nakuomba..🙏🏽🙏🏽Na wewe uwe unaosha soksi basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2229477
SOP isikupatie pressure. Ingine ndio hiyoWewe mtu wa routine diagnostics unajua nini zaidi ya kufuata SOPs na GCLP tuu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
You are wasting your time begging an idiot. Huyo soja The best 007 kazi yake ni rahisi sana.please please i beg u 🙏🏽 The best 007, hii story za kuchongoana tuache.. sisi wote watu wazima. tujadili tu mambo ya kenya vs tz na miradi. na sio mavazi na maumbile.. tafadhali nakuomba..🙏🏽🙏🏽
Ila hawa watu aisee,kuna wakati wanatia hasira sana ila ukishawajua hawakusumbui sana, wakati wa utekelezaji wake na baada ya kumalizika zinahitajika juhudi kubwa zaidi kuulinda lasivyo wanaweza kufanya hujuma.Hapana Uhuru Kenyatta alienda kulia kwa Macron aishurutishe TOTAL wapitishe bomba Kenya lakini katoka tupu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Watafute wengine lasivyo utasuasua sana.Hizi ni hujuma za maksudi.Tanzania na Uganda watafute pesa wenyewe na WA inject kwenye mradi wa EACOP,kutegemea Hawa vibaraka wa Kunyaland hatufiki..
Watu ni wapumbavu Sana,wapi ambako kutakuwa na displacement of people?
Na hao watu si wanalipwa fidia na kutafutiwa maeneo mengine? Wanakera Sana Hawa mbwa..
Kama kuna wengine wako Tanzania hii wanaojiita NGOs watafute Nchi ya kwenda [emoji116]
View attachment 2229338
nimekuuliza wale waliokua 2020 matajiriBado umekwama Kwa data za 2019?
Mkuu unadhani ni chai basi, ni maji yenye tope, uhaba wa maji ndg yangu.SO sad kwa kweli [emoji24][emoji24][emoji24]
Ila leo nimeona maajabu humu mie wacha tu niendelee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata humu hawajawahi kukitaja [emoji1787]
Bado tupo kwenye mpango mkakati wa kuyachimba,majadiliano yanaendelea, yataendelea siku zote hatuna haraka si unajua tena serikali haina haraka saaaaana!!!!Wenye akili wanachangamkia fursa ila Tanzania sasa sijui nini kinaendelea Kuhusu mamilioni ya Tani za Makaa ya Mawe tuliyonayo..
Hongera Botswana [emoji116]
View attachment 2229413
Umewasahau kuwa ni wazee wa takwimu? Jambo baya kwao wanapunguza,zuri kwao wanaongeza kinyume chake kwetu.Mbona unapunguza idadi? Tunazo zaidi ya 8500 na tunaendelea kujenga nyingine zaidi [emoji116]
View attachment 2229416
View attachment 2229417
View attachment 2229418
View attachment 2229419
View attachment 2229420